Haya haya. Week end ndio hiyoooo imewadia

Haya haya. Week end ndio hiyoooo imewadia

Mi kuna sehemu nimeingia kumeniboa kweli! Nikaingia sehemu nyingine ukiangalia kuna gesti nimekunywa zangu eeee kumbe hakuna nyumba za wageni.
Nimeshindwa kugandana kabisa leo dah! nimerudi home kunywa supu ya mzazi

tatizo lako unapenda sana maeneo ya Limpopo.....si uje Sky.....
 
Sasa ivi naelekea Break Point opposite na Billicanas Club, karibuni.... tujumuike.
 
tatizo lako unapenda sana maeneo ya Limpopo.....si uje Sky.....

Limpopo pamejaa uncle wadau wamebuku tokea jana hahaaaaaa................... Preta nipe direction ya sky bana
 
Last edited by a moderator:
Kwa wakazi wa Mo-Town, niko Maeneo ya Shirimatunda njiapanda ya Bonite kwenye Ile Kilabu Maarufu ya Mbege kwa Mashayo. In kesi mtapenda kujoin..
 
Haya sasa.
Mbege+is+Available+today+at+one+of+the+pubs.jpg
 
wee waiter.....hashua mnachoma....?...

Naona kazubaa huyo waiter hajibu...shuka Mo Town faster utanikuta kwa Kipanga Majengo nimeanza na supu ya kongoro nkisubiria nyama inakuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom