badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,119
heheh,huyo bwana Inno rude bway mkuu
af nlivomuona tu ws like thts inno bluprint...au ndo wewe mwenyewe???
heheh,huyo bwana Inno rude bway mkuu
af nlivomuona tu ws like thts inno bluprint...au ndo wewe mwenyewe???
Picha kama hii siwezi kuitolea ufafanuzi,naogopa kupigwa ban
hahahaHehe naona mmetoka kushiba kipila.
NB: the photo dates 3 yrs back in college, back at IFM
View attachment 137431
hapana mkuu mimi ni mshika cameraWametoka kula pilau la mama lishe hapo na maji ya uhai vitumbo ndi na vijasho vinawatoka ndo maana wengi wako kifua wazi
donlucchese nafikiri wewe ni huyo uliyevaa boxer ya draft wa kwanza kushoto
heheheeee hii ni block C siyo?? pembeni ya kwa warden eeehh, miss that life there, sjui now summit bado panatumika kuanikia nguo kule block D, maana usiku watu walikuwa wanafanya habari mbaya kule ila sie tulikuwa tunapiga maombi sana. Na aiport kuelekea IFMSO bado papo?
Yet u r one of them in the pic only that I can not identify donluch.....
hapana mkuu mimi ni mshika camera
nashukuru kwamba walinipa haki miliki kabisa vinginevyo nisingethubutu. hata hivyo kwa sasa wote wameoa wanafamiliaHao waliopigwa picha una haki za kuibandika humu kama wewe ndo uliwapiga maanawakija kujiona huku @donlucchese ni balaaa
hahah, daah kweli mkuu we mkongwe wa ifm maana umepatia sana. such were good times!
nashukuru kwamba walinipa haki miliki kabisa vinginevyo nisingethubutu. hata hivyo kwa sasa wote wameoa wanafamilia
lol, I'd tell you but am afraid I'd have 2 kill you.
Picha kama hii siwezi kuitolea ufafanuzi,naogopa kupigwa ban
Mbona wote wana One Pack?
"Nlikuwepo":bolt: