Haya funguka majina ya wangoni hapa

Haya funguka majina ya wangoni hapa

Jimmysam

Member
Joined
May 31, 2012
Posts
37
Reaction score
6
Ngonyan
Mapunda
Matembo

Hivi Y hawa jamaa...,wanapendelea majina ya wanyama?????

Hebu funguka na weewe majina ya hawa ndugu ze2 unaowafahamu.
 
Mwafisi
Sungura
Katembo
Mbogo
Kwipunda
Komba
Nyati
Simba
Kayombo
Haule
Mpangala
.......etc
 
Ngonyan
Mapunda
Matembo

Hivi Y hawa jamaa...,wanapendelea majina ya wanyama?????

Hebu funguka na weewe majina ya hawa ndugu ze2 unaowafahamu.

sitaki kuamini kama hujui kua binadamu ni mnyama....!#~'_4_"%'
 
Kabila shenzi ili, mngekaa porini basi tujue moja!
 
Namtumbo
Nakapanya
Nakaguruwe
Matembo
Nguruwe
Kifaru
Penyewe palapala pa mfaranyaki penye ng'uku wengi pala
 
Namtumbo
Nakapanya
Nakaguruwe
Matembo
Nguruwe
Kifaru
Penyewe palapala pa mfaranyaki penye ng'uku wengi pala

ahahahahahahaha. huyo NAKAPANYA akikutana na mwenzake BONGE LA NYAU wataelewana kwel?
 
namtumbo, nakapanya, nanguruwe( hayo ni majina ya maeneo sio ya watu)
kingine tujaribu kuwa wastaarabu na kuheshimu tamaduni za watu, wao wangoni kuamua kutumia majina ya wanyama sio ushenzi so sio vema kusema ni washenzi. ni mtazamo wao na utamaduni wao. % kubwa ya majina ya ukoo ni wanyama;
ngonyani
matembo/katembo/tembo
kifaru
mapunda
nguruwe
nyati
komba
simba, nyoka nk
 
Back
Top Bottom