Hawatendei haki tai... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawatendei haki tai...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Feb 25, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani unajua watz huwa tunafanya mambo kwa mzahamzaha.,yani siri huwa nakerwa na vijana wavaao tai bila kujua taratibu za tai zinataka nini,yani kuna hawa vijana wanaouza vyombo vya plastics wanazunguka navyo mitaani nadhani kwa wale wa tz watakuwa washawaona au?sasa unapishana na kijana anauza vyombo madeli ya ice-cream amevaa jeans ,shati la mikono mirefu na chini ana kandambili,yani inanikera sana,kubwa kuliko ni leo nimekutana na jamaa kavaa pensi nyanya ,shati la mikono mirefu ,tai na raba ametoka kuchukua bidhaa kwa tajiri,eti waungwana hivi hawa waajiri wa vijana hawa na kampuni zao sijui toka canada,marekani,italia hivi hawajui ethics za tai au?vp weye ushakutana nao mtaani ama?
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Sasa ebu tupe hizo ethics za huo uvaaji mzuri wa tai.....
   
Loading...