Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Apr 13, 2012 #1 Hivi hawa huwa hawana wataalamu wa lugha tofauti ili wasijiharibie soko?? Kama hapa nani atanunua pikipiki hii??
Hivi hawa huwa hawana wataalamu wa lugha tofauti ili wasijiharibie soko?? Kama hapa nani atanunua pikipiki hii??
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Apr 13, 2012 #2 aluuuu....!...najaribu kufikiria kwa sauti...
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Apr 13, 2012 #3 nadhani siku hizi wamepata wataalam!kuna moja inaitwa CHUMA!inauza sana wanunuaji wanaamini ni imara kama chuma!
nadhani siku hizi wamepata wataalam!kuna moja inaitwa CHUMA!inauza sana wanunuaji wanaamini ni imara kama chuma!
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Apr 13, 2012 #4 Katavi said: Hivi hawa huwa hawana wataalamu wa lugha tofauti ili wasijiharibie soko?? Kama hapa nani atanunua pikipiki hii?? View attachment 51660 Click to expand... Ndiyo! Ni wazi kabisa market research yao ya brand name ni mbovu!
Katavi said: Hivi hawa huwa hawana wataalamu wa lugha tofauti ili wasijiharibie soko?? Kama hapa nani atanunua pikipiki hii?? View attachment 51660 Click to expand... Ndiyo! Ni wazi kabisa market research yao ya brand name ni mbovu!
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,212 Reaction score 13,054 Apr 13, 2012 #5 Mkuu Katavi ulitaka kuinunua nini, jina likakutisha?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Apr 13, 2012 Thread starter #6 TANMO said: Mkuu Katavi ulitaka kuinunua nini, jina likakutisha? Click to expand... Jina linatisha bwana, au wanamaanisha kweli maana hizo ukipata ajali ni kifo au majeraha, sasa hii jinyee....!!!
TANMO said: Mkuu Katavi ulitaka kuinunua nini, jina likakutisha? Click to expand... Jina linatisha bwana, au wanamaanisha kweli maana hizo ukipata ajali ni kifo au majeraha, sasa hii jinyee....!!!
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 Apr 13, 2012 #7 Katavi said: Hivi hawa huwa hawana wataalamu wa lugha tofauti ili wasijiharibie soko?? Kama hapa nani atanunua pikipiki hii?? View attachment 51660 Click to expand... Inaonekana amenunua makusudi ili watu wasigongee...
Katavi said: Hivi hawa huwa hawana wataalamu wa lugha tofauti ili wasijiharibie soko?? Kama hapa nani atanunua pikipiki hii?? View attachment 51660 Click to expand... Inaonekana amenunua makusudi ili watu wasigongee...