Hawajui kutumia hili neno. Wananiudhi!

Mimi huwa najibu ......."Kawaida sana,so it easy poteaaaaaaa"!Kumwambia mtu kapendeza ina maana kuna kinyume chake!
 
Mimi huwa najibu ...."Kawaida sana,so Take it easy poteaaaaaaa"!Kumwambia mtu kapendeza ina maana kuna kinyume chake!
 
Unaniambia nmependeza halafu unataka nijib asante bila kujua nmependeza kipi? Lazima nikuulize kwanza, kwann, ili useme kama nguo yangu ni nzuri au nywele, ndo nijib asante.
 
mara nyingi mtu anaona ha deserve hyo umependeza,ukijifunza kusema ahsante without asking u will really enjoy the beauty of compliments
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom