Hawa wote ni marehemu

Hawa wote ni marehemu

Jk Nyerere, Mafisango, Kanumba, Ngwear, Sharo, Bi kidude, Sajuki, Sita, Komba
 
Nawaona weng sharo milionea kanumba San UK Adam kuambiana b kidude na wengine Wendi innallilwah wa innalilwah rajuun
 
Wakuu habari za asubuhi?
Hawa wote ni marehemu je umemuona nani ambaye ulikuwa unamjua?View attachment 910137

Nimewaona hapo Watu wangu muhimu Watatu ( 3 ) na niliokuwa nawapenda ' Kunakotukuka ' kabisa na ' Machozi ' yamenitoka.

1. Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere a.k.a Intellectul wa Kutukuka Ulimwenguni / Duniani.
2. Hayati Steven Kanumba ' Fundi ' wa ' Maigizo ' ambaye mpaka leo bado sijaona hata aliyemfikia kwa 15% tu.
3. Hayati Patrick Mutesa Tabu Petit Mafisango ' Mtaalam ' wa Mpira na Kiungo wa Ukabaji aliyekuwa na kila Kitu Uwanjani.


Mwenyezi Mungu ' awarehemu ' wote hawa kwani niliwakubali na kuwapenda sana.
 
Patrick mutesa mafisango, RIP
Juma kilowoko, aka Sajuki, RIP
Amina wa chifupa, RIP
Albert Mangwear RIP
Mch, christopher wa mtikila, RIP
sharo wa tanga RIP
Captn, John wa komba RIP
Samuel wa sita RIP
Mzee mchonga baba wa taifa RIP
Muhidin wa Ngurumo RIP
sijakuona kanumba RIP niliacha kuangalia tanzanian film baada ya kifo chako,
na wote mliotangulia mbele ya haki tupo nyuma yenu folen ni ndefu lakini kwa jinsi tunavyokimbia naamini tutawafikia hivi punde
 
Patrick mutesa mafisango, RIP
Juma kilowoko, aka Sajuki, RIP
Amina wa chifupa, RIP
Albert Mangwear RIP
Mch, christopher wa mtikila, RIP
sharo wa tanga RIP
Captn, John wa komba RIP
Samuel wa sita RIP
Mzee mchonga baba wa taifa RIP
Muhidin wa Ngurumo RIP
sijakuona kanumba RIP niliacha kuangalia tanzanian film baada ya kifo chako,
na wote mliotangulia mbele ya haki tupo nyuma yenu folen ni ndefu lakini kwa jinsi tunavyokimbia naamini tutawafikia hivi punde
King majuto
Tx William
Shaban Dede
N.k
 
Kanumba na mtoto wa dandu(mwanamaria)
 
Nawakumbuka wanajamiiForums wenzetu.
mawazo.jpg

Alphonce Mawazo
Mtoi.jpg

Mohamedi Mtoi

Mungu awalaze mahari pema peponi. Amina
 
Nimejionamo aisee kumbe nilishakufa duh!!!
 
Back
Top Bottom