dottoz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 1,510
- 874
Daah mie mwenyewe ndo najua leo.Huyo Jamaa mwenye miwani wa twanga pepeta kumbe alisha kufa aisee
Daah mie mwenyewe ndo najua leo.Huyo Jamaa mwenye miwani wa twanga pepeta kumbe alisha kufa aisee
na bado kamsahau masongange. yaani mshepu wote ule wadudu wamefaidi walahi..Daaah udongo umebeba watu wengi sanaaaaa
Ni nan hapo?Marehem baba

Sitaki kumtajaNi nan hapo?![]()
inauma sana kuna vitu ukivifikiria hii dunia haina thamani wallahKi
Kila MTU amelala peke yake ameoza peke yake ameliwa na wadudu peke yake amefunikwa sanda yake
Ukiona hivyo ujue hajafaMbona simuoni Governor wa BOT?
Wakuu habari za asubuhi?
Hawa wote ni marehemu je umemuona nani ambaye ulikuwa unamjua?View attachment 910137

Hata mi nimeshangaa duh!!!Huyo Jamaa mwenye miwani wa twanga pepeta kumbe alisha kufa aisee
Abuu Semuhando kama sikosei. Yes alitangulia.Huyo Jamaa mwenye miwani wa twanga pepeta kumbe alisha kufa aisee
wanaume maarufu ni wengi kuliko wanawakeMbona wanaume wengi kuliko wanawake
Kwanini baby?Sitaki kumtaja

Nikitaja nafikia huzunKwanini baby?![]()
Pole sana baby.Nikitaja nafikia huzun

Mzee Baba siku moja uje na mada ya shida kwenye ulimwengu wa roho pindi waja wakitafuna fedha za rambi rambi. R.I.P MafisangoWachache sana hawa