mi mwenyewe nimeshangaa, nahisi wamekosea banaHuyo Jamaa mwenye miwani wa twanga pepeta kumbe alisha kufa aisee
Amna amesha fariki huyo mimi nilikua sijui kumbe toka 2014mi mwenyewe nimeshangaa, nahisi wamekosea bana
Duh noma sana, basi msiba wake haukukiki mtandaoniAmna amesha fariki huyo mimi nilikua sijui kumbe toka 2014
Amigoras aka baba Diana, aligongwa na gari ndipo umauti ulipomkuta.Duh noma sana, basi msiba wake haukukiki mtandaoni
Daudi BalaliWakuu habari za asubuhi?
Hawa wote ni marehemu je umemuona nani ambaye ulikuwa unamjua?View attachment 910137
hatari sanaAmigoras aka baba Diana, aligongwa na gari ndipo umauti ulipomkuta.
Hata mimi nimeshangaa jamaniHuyo Jamaa mwenye miwani wa twanga pepeta kumbe alisha kufa aisee
Mbona kanumba hapo yupoPatrick mutesa mafisango, RIP
Juma kilowoko, aka Sajuki, RIP
Amina wa chifupa, RIP
Albert Mangwear RIP
Mch, christopher wa mtikila, RIP
sharo wa tanga RIP
Captn, John wa komba RIP
Samuel wa sita RIP
Mzee mchonga baba wa taifa RIP
Muhidin wa Ngurumo RIP
sijakuona kanumba RIP niliacha kuangalia tanzanian film baada ya kifo chako,
na wote mliotangulia mbele ya haki tupo nyuma yenu folen ni ndefu lakini kwa jinsi tunavyokimbia naamini tutawafikia hivi punde
Wa juu kushoto?Huyo Jamaa mwenye miwani wa twanga pepeta kumbe alisha kufa aisee
Wakuu habari za asubuhi?
Hawa wote ni marehemu je umemuona nani ambaye ulikuwa unamjua?View attachment 910137
Ndo yupi hapo?Daudi Balali