Tuandamane kama wasauzi tu....Jana nilikuwa kwenye basi tena la vijijini kabisa naenda mjini. Safari ni fupi maana nauli elfu 5 tu
Nimekaa siti na mdada mzungu lika langu kabisa mzungu mwenzie mmama mtu mzima amekaa mbele zaidi
Nimemtongoza kwa tabu na shida sana alaf ananijibu fyongo et LEAVE ME I DON'T WANT YOUR BUSINESS.
HILI SUALA LIANGALIWE KWA KINA
kwanin wazawa hatuzingatiw lakin?????
Mpe mwongozo mwenzio ampate mzungu bana
Ni adabu mbaya inakusumbua, hakuna kingine.Jana nilikuwa kwenye basi tena la vijijini kabisa naenda mjini. Safari ni fupi maana nauli elfu 5 tu
Nimekaa siti na mdada mzungu lika langu kabisa mzungu mwenzie mmama mtu mzima amekaa mbele zaidi
Nimemtongoza kwa tabu na shida sana alaf ananijibu fyongo et LEAVE ME I DON'T WANT YOUR BUSINESS.
HILI SUALA LIANGALIWE KWA KINA
kwanin wazawa hatuzingatiw lakin?????
KWANI MIMI KUZALIWA NA KUKULIA KIJIJINI UNAPUNGUKIWA NINI BOSS??? mbona kama unatupangia kila kitu kwan vp una milik oksijen yetu hapo ulaya???Ni wale watu waliozaliwa na kukulia vijijini,amezowea kuwaona wazungu kwenye tv tu,siku kamuona kaona kama vile kakutana na Malaika!
Aje huku abebe box,wazungu ni wakawaida tu.
Tatizo amenikataa kwa njia mbaya. Hana nidhamWakubwa hawalii hivyo mpaka kuanzisha nyuzi wakikataliwa!
Nimehangaika sanaHahahaha....duuuh
Sawa tu ila ajue namna nzur ya kukataaNaamini Na Kukuhakikishia Ya Kuwa,Na Yeye Ndo Ndo Maana Alikukataa Kabla...
Mbona sijawatongoza alaf nyie sio wazunguNa sisi tunasema LEAVE US WE DONT WANT YOUR BUSINESS
Sawa mkuu ofutageti hyo
Kumbe wazungu wa hovyo tTuandamane kama wasauzi tu....
Hyu ndug yako kama mchoyo etMpe mwongozo mwenzio ampate mzungu bana
Sasa kipilipili hk c mpk miaka miwil mkuuSuka dredi utawapata tu
Adabu mbaya kutongoza? Kwan mkeo ulimpataje bwa mkubwa?Ni adabu mbaya inakusumbua, hakuna kingine.
Mkuu,
Fafanua mkuu nielewe kama kuna namna ntamrudia mzungu yule asiejua hisiaMkuu,
Wazungu ukiishi nao, halafu ukisikia wanavyozungumziwa na watu fulani hapa JF, unaweza kujiona ushafika mbinguni tayari.
Sawa tu ila ajue namna nzur ya kukataa