Hawa Wazungu warudi kwao

Hawa Wazungu warudi kwao

MwaMlawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2026
Posts
301
Reaction score
507
Jana nilikuwa kwenye basi tena la vijijini kabisa naenda mjini. Safari ni fupi maana nauli elfu 5 tu

Nimekaa siti na mdada mzungu lika langu kabisa mzungu mwenzie mmama mtu mzima amekaa mbele zaidi

Nimemtongoza kwa tabu na shida sana alaf ananijibu fyongo et LEAVE ME I DON'T WANT YOUR BUSINESS.

HILI SUALA LIANGALIWE KWA KINA
kwanin wazawa hatuzingatiw lakin?????
 
ok. :pedroP:
 
kisa chako ni cha kweli kabisa? usinifiche nataka nikupe code
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom