Huna exposure,unaonekana ni mshamba kupitiliza,ni sawa na mtoto aliye zaliwa leo,Kwani nilimvua nguo? Yaan nimekaa nae siti moja tupo wawil unasema praives? Ndiyo nin hyo tena naww
Amenikera sana huyu mzungu ila nimejaribuWewe mwanaume hakuna cha kubalance shobo akikaa mzungu mwengine kwenye anga zako tongoza mkuu
Wakikukatalia tutajua tunawafukuzaje ila we tongoza
Mkuu mbona unataka kujaza povu? Tatizo nin? Pov la hasiraHuna exposure,unaonekana ni mshamba kupitiliza,ni sawa na mtoto aliye zaliwa leo,
Narudia tena,acha shobo,acha kuingilia privacy za watu,siku nyingine utakuja kutolewa meno.
Ndiyo maana alikukataa, yaani hujui hata "praives" ni nini?Kwani nilimvua nguo? Yaan nimekaa nae siti moja tupo wawil unasema praives? Ndiyo nin hyo tena naww
Wasukuma wenzako hujawaona mpka usumbue wagen
Kwan lazima kujua boss? Au nalo hilo nimekiuka katiba?Ndiyo maana alikukataa, yaani hujui hata "praives" ni nini?
Kama ulikuwa hujapiga mswaki, hujaoga, na kikwapa kilikuwa kinatema, nikuambie tu mdogo wangu kwamba alikuvumilia sana.Jana nilikuwa kwenye basi tena la vijijini kabisa naenda mjini. Safari ni fupi maana nauli elfu 5 tu
Nimekaa siti na mdada mzungu lika langu kabisa mzungu mwenzie mmama mtu mzima amekaa mbele zaidi
Nimemtongoza kwa tabu na shida sana alaf ananijibu fyongo et LEAVE ME I DON'T WANT YOUR BUSINESS.
HILI SUALA LIANGALIWE KWA KINA
kwanin wazawa hatuzingatiw lakin?????
Huyo wako utajuana naeJihan dimack ni wangu
MwaMlawa Kamwene..Jana nilikuwa kwenye basi tena la vijijini kabisa naenda mjini. Safari ni fupi maana nauli elfu 5 tu
Nimekaa siti na mdada mzungu lika langu kabisa mzungu mwenzie mmama mtu mzima amekaa mbele zaidi
Nimemtongoza kwa tabu na shida sana alaf ananijibu fyongo et LEAVE ME I DON'T WANT YOUR BUSINESS.
HILI SUALA LIANGALIWE KWA KINA
kwanin wazawa hatuzingatiw lakin?????
Katiba tena? Yaani unaongelea kale kakitabu kwenye issue za kutongoza mzungu?Kwan lazima kujua boss? Au nalo hilo nimekiuka katiba?
Hapana huko kwa boss umefika mbali. Me nazungumzia mzungu wang ze sem sitiSome men’s entitlement has to be studied.
Ukiwa Boss kazini kila anayekukataa fukuza mbali!
Watalii hawaruhusiw kutongoza mkuu. Labda angenambia ana mtu wakWewe unatakiwa utafutwe na uchapwe viboko kabisa, unasumbua watalii wetu.
Labda aliona simfai lakin angejitahid kunipa ahad ya uongo. Sema wazungu nao ndo hvoAliona haumfai
Mheshimiwa hyo inakubalika hapo chamwino
We una jazba ya nin tena? FungukaI didn’t expect you to understand!
Nimemuacha stend hapo na mama yake cjui shangaz nikaondokaNenda kamchukue
Mkuu ni kwel kbs shuka kodi hzokisa chako ni cha kweli kabisa? usinifiche nataka nikupe code
Usihukumu ruti ya basi kwa kuw inatok kijijn.Kama ulikuwa hujapiga mswaki, hujaoga, na kikwapa kilikuwa kinatema, nikuambie tu mdogo wangu kwamba alikuvumilia sana.
Kamwene, unoge muvina?MwaMlawa Kamwene..