- Thread starter
- #41
Kosa langu nin mkuuKatiba tena? Yaani unaongelea kale kakitabu kwenye issue za kutongoza mzungu?
Kosa langu nin mkuuKatiba tena? Yaani unaongelea kale kakitabu kwenye issue za kutongoza mzungu?
Nimempenda huyu mtalii kwao mbaliWaibukie huko huko kwao uzunguni, mbona utapata hadi wa kimboka na Tandika kaburi moja
Uhavi weki kang naiveve,
Kamroge....
Uhavi weki kang naiveve,
Kuroga sijui mkuu
Wabaki tu ila kwanz simtak tenaBasi Wataendelea Kusalia Hapa Kwetu,,
Mpaka Pale Wakiwanti Yua Bizinesi...
###AuUnaonaje###
Nimesoma replies za mleta uzi naona huwa anafikiria mambo taratibu taratibu sana 🤣🤣🤣Huna exposure,unaonekana ni mshamba kupitiliza,ni sawa na mtoto aliye zaliwa leo,
Narudia tena,acha shobo,acha kuingilia privacy za watu,siku nyingine utakuja kutolewa meno.
Replies zako zimenifanya nicheke sana 😂😂😂Wabaki tu ila kwanz simtak tena
Injin inachanganya taratib mkuu, ikichanganyia kweny kona bahat mbayNimesoma replies za mleta uzi naona huwa anafikiria mambo taratibu taratibu sana
Kama zinachekesha cheka tu kikubwa umeelewa hii vita ya kikandaReplies zako zimenifanya nicheke sana
Wabaki tu ila kwanz simtak tena
Kwani Ni Nani Amekuhahakishia Ya Kwamba,Yeye Alikuwa Anakutaka..??Me ndo ndo nimeamua simtak. Ya kwake me sijuiKwani NiNani Amekuhahakishia Ya Kwamba,Yeye Alikuwa Anakutaka..??
Some men’s entitlement has to be studied.
Ukiwa Boss kazini kila anayekukataa fukuza mbali!
Hata wakubwa hutongoza bwa mkubwaUtoto raha sana
Ni wale watu waliozaliwa na kukulia vijijini,amezowea kuwaona wazungu kwenye tv tu,siku kamuona kaona kama vile kakutana na Malaika!Nimesoma replies za mleta uzi naona huwa anafikiria mambo taratibu taratibu sana 🤣🤣🤣
Wakubwa hawalii hivyo mpaka kuanzisha nyuzi wakikataliwa!Hata wakubwa hutongoza bwa mkubwa
Me ndo ndo nimeamua simtak. Ya kwake me sijui