Hawa watu wakowapi?

Hawa watu wakowapi?

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,919
Wit,CPU,Rev Masanilo,cheusimangla na sweetbaby?Nimewamis sana!
 
Huyu Rev masanilo ameenda kuhubiri kwenye kambi za njaa somalia
 
Huyu CPU na huu mgao wa umeme ataanzia wapi?
 
Cheusimangala huu mgao wa umeme ndio kwao, haonekani! Umeme unamtesa sana!
 
CPU yupo Eiyer... ila hata mimi nimemiss WIT mana nina File lake aliomba niandae kuhusu how to kiss (msiniombe mpaka mwenyewe alione!!!) REV nae yupo mchana alikua jamvini... tena toka jana... tatizo Eiyer wewe unaishia tu MMU... uwe unatoka kidogo kakangu...Ila CHEUSIMANGALA hata mimi nimemiss pamoja na GAGA, MICHELLE, KLOROKWINI, NNUNU, PEARL, SAMORA10, DAUGHTER, JOURNEGWALU, BISHANGA, BLACK BERRY, VIPER, EXCELLENT.... Hawa kweli najiuliza ni siku nyingi sasa...
 
Dada,ninachouliza ni kwanini Rev haji humu,huwa natoka sana tu!Hao wengine ndo hawapatikani kabisaaa!
 
Haha Masa nimemuona kirabu moja ya Kampumu, Cheusimangala kaolewa na mwanaume ana wivu acha, CPU kabanwa na majukumu maana mkewe kajifungua si unajua mzee mzima? eti anasingizia Limbwata, Krolokwini haha mi simo...gaga naye duh katoa wimbo wa shetani atakuja mwenyewe kujibu, hehe wengine ngoja wasikie tu...watu baada ya Lizzy kula ban wanasusa kwanza kuangalia upepo.....
 
Duh!So kuna watu wanaingia jamvini kwa kufuata mkumbo!?Kaazi kwelikweli!
 
Nashangaa Eiyer, Magu, Ashadii wote hamnikumbuki au kwa vile niko kijijini na net hakuna ndo mmenitupa eehh. Ngoja nirudi mjini na viatu vyabgu vya raisoni mtanikoma
 
Mi namtafuta Paka Mweusi jamani, chonde chonde popote mtakapohisi anbpatikana mniambie.
 
Amefichwa mahali kidogo si unajua karibu mfungo unaanza.
 
Back
Top Bottom