Hawa Watoto wadogo wamejulia wapi neno Mapenzi?

Hawa Watoto wadogo wamejulia wapi neno Mapenzi?

Watoto wanajifunza kwa wazazi na watu wanaowazunguka.
Watoto wadogo wanajua matusi, mitindo ya ngono wengine unaweza kulia. Tulivishuhudia vitoto vidogo kama miaka mi5-6. Wanangonoka hadi wanatoa sauti za mahaba.

Maongezi ya wakubwa wanasikia pia
Tunawalea vibaya hawa watoto.
 
Tanzania watu wazima ndiyo hawana adabu, utakuta wanachukuwa watoto wadogo mpaka ma bar ya ulevi unategemea watajifunza nini huko?

Ukipita mitaani hayo matusi yanayoporomoshwa hovyo bila kujali ka kuna mtoto wala watu wazima. Tunategemea watoto wajifunze nini?

Baadhi ya mitaa ya Dar kumejaa uozo wa matusi. Mimi binafsi siendi kabisa na wanangu sokoni, ingawa ni watu wazima, lakini aibu yanayoongewa huko kwa mwenye kujali maadili mema.

Maadili mema Tanzania yanaanza kuwa ni historia.

Hao watoto wanaiga wanayoyaona na kuyasikia. Tusiwalaumu pale sisi wenyewe tunaposhindwa kujiheshimu.
Mkuu hiki ulichoandika hapa ni ukweli asilimia zote maadili kuporomoka hayakuanzia kwa watoto bali kwa wazazi . Yaani hii jamii siku hizi ni balaa ukipita mitaani utatamani uweke pamba masikioni, bado hujashuhudia ugomvi wa wanandoa wanavyoporomosheana matusi tena mbele ya watoto. Hili ni janga la taifa.
 
kweli serikali inapaswa kuchukua hatua kupitia wizara husika.
 
Back
Top Bottom