Kwani utakaa na yeye in the dark siku zote. Kuna siku za kutoka kaka. Lazima uwe na kitu cha nguvu. Guu guu, tako tako, akismile stress zote kwisha. Akivaa simple cotton dress mwenyewe unaona raha. Mwanamke gani wa kuvaa vitenge vya wax na waya juu. Akisimail unadhani anafukuza ndege kwenye mpunga
Hangaika ndio nani mkuuDuh!!
........huyo "Hangaika" kama kaolewa amshukuru sana mume wake.
Tulia Kaolewa?Asha Rose Migiro mme wake ni Lecturer pale udsm.
Am not sure if he is still there.
Tulia kaolewa
Anna Tibaijuka mmewe keshatangulia mbele za haki.
The least known the least explained.
Alipigwa juu kwa juuBulaya ana mtoto mkubwa tu anasoma form one au two.
Mumewe ni prof UDSM
Wanawake much know huwa hawaolewi.
Ummy kaolewa
Jenister kaolewa
Tibaijuka ni mjane
Samiah sijui
Tulia bado yupo yupo sana
Juliana Shonza bado anakula ujana.
Esther Bulaya bado anavunja mifupa
Catherine Magige bado anatafuta mchumba
Getrude Mongellla muache bibi yetu huyu
Anne Makinda hajawahi kuolewa na hana mpango
Joyce Ndalichako, huyu alisha kataa kuolewa tangu akiwa binti mdogo
Maua Daftari huyu kwao Pemba sijafika kuulizia
Great thinker think and talk about new ideas and origin of idea. Innovator uses established idea to improve device or life standard. Average thinker think and talk about past events. Lower thinker think and talk about other people. Jipime mwenyewe upon wapi? Jamii forum wengi ni Average thinkers au Lowest thinkers tunajadili sana matukio yaliyopita au watu fulani kafanya hiki nk.Kati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili.
- Samia Suluhu
- Anne Makinda
- Joyce Ndalichako
- Anna Tibaijuka
- Jenista Mhagama
- Asha Rose Migiro
- Esther Bulaya
- Ummy Mwalimu
- Tulia Atkson
- Maua Daftari
- Julian Shonza
- Catherine Magige
- Getrude Rwakatare
- Getrude Mongella
Je, wameolewa na kama wameolewa waume zao wako wapi na wanafanya nini?
Kwanini pia hatuwaoni hata kwa bahati mbaya?
Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu.
Wanawake much know huwa hawaolewi.
Ummy kaolewa
Jenister kaolewa
Tibaijuka ni mjane
Samiah sijui
Tulia bado yupo yupo sana
Juliana Shonza bado anakula ujana.
Esther Bulaya bado anavunja mifupa
Catherine Magige bado anatafuta mchumba
Getrude Mongellla muache bibi yetu huyu
Anne Makinda hajawahi kuolewa na hana mpango
Joyce Ndalichako, huyu alisha kataa kuolewa tangu akiwa binti mdogo
Maua Daftari huyu kwao Pemba sijafika kuulizia
Nijuavyo Mimi, nitakaowaandika kwenye koti ndogo ndiyo majina ya waume zao. Ana Kajumulo 'Tibaijuka', Asharose Mtengeti 'Migiro', Tulia Akson 'Mwansasu' , Gertrude Pangalile 'Rwakatare',Kati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili.
- Samia Suluhu
- Anne Makinda
- Joyce Ndalichako
- Anna Tibaijuka
- Jenista Mhagama
- Asha Rose Migiro
- Esther Bulaya
- Ummy Mwalimu
- Tulia Atkson
- Maua Daftari
- Julian Shonza
- Catherine Magige
- Getrude Rwakatare
- Getrude Mongella
Je, wameolewa na kama wameolewa waume zao wako wapi na wanafanya nini?
Kwanini pia hatuwaoni hata kwa bahati mbaya?
Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu.
Umeelewa mtoa mada anachokitaka?Bulaya ana mtoto mkubwa tu anasoma form one au two.
Hao wasioolewa inamaaana wamekosa wanaume au ni jeur tu? Wanapaswa kushitakiwa , Halafu mtu hajaolewa mnampaje ubunge? Mnampaje mtu ambae hajaolewa mnampa had uwaziri? Hivi nyie Mwalimu akifufuka atawachoma moto wote hao mnaoenda kumpigia kura msela anaeishi kihuni- Samia Suluhu-kaolewa
- Anne Makinda-Hana ndoa
- Joyce Ndalichako-kaolewa
- Anna Tibaijuka-mjane
- Jenista Mhagama-Hana ndoa
- Asha Rose Migiro-kaolewa
- Esther Bulaya-hana ndoa
- Ummy Mwalimu-kaolewa
- Tulia Atkson-kaolewa
- Maua Daftari-sijui
- Julian Shonza-kaolewa
- Catherine Magige-hana ndoa
- Getrude Rwakatare-hana ndoa
- Getrude Mongella-kaolewa
Wewe Jamaaa weweSasa kama Ndalichako
Labda aolewe kutokana na hela zake lakini sio kwa ile sura...
Ila tuache utani Tibaijuka ana wesere sio masikhara nilipata kumuona siku wanafanya maonesho ya u miss Dodoma katika uchangiaji kama sikosei ulikuwa ni vyoo vya watoto wa kike mgeni rasmi alikuwa mama samia suluhu.Asha Rose Migiro mme wake ni Lecturer pale udsm.
Am not sure if he is still there.
Tulia kaolewa
Anna Tibaijuka mmewe keshatangulia mbele za haki.
The least known the least explained.
Ticha atakuuwa shauri yakoNkimpata esta matiko naapa ntatulia tuliii nisaidieni jamani nimpatee japo kuna kimkutano kimoja kilishawahi kutokeaa dj akawasha mziki watu wachezee kwa pamoja nami nlikuemoo ndani ya ukumbi nkaanzaa kunyapia taratibu nkachezee nayee najifanya nadance kumbe namove nkaambulia kumshika mkono tu..!!!mziki ukaisha
Nimeilewa mkuu.Umeelewa mtoa mada anachokitaka?