Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

Yap ndio hiyo hiyo, sasa ulivyosema Quality center ulinichanganya maana navyojua hiyo quality senta ipo nyerere road mtava
Nipe direction kabisa mkuu kesho niwaibukie tena kwa miguu🤣🤣🤣
 
Mkuu ebhu nishauri nataka kufunga Internet nyumbani...hawa konnect hawarespond kabisa tokea asbh sms znasomwa no replay

Naweza kukupa mawasiliano ya MD wao kama utakuwa hujafanikiwa bado. Utapata ufumbuzi haraka
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Sasa mkuu kama ndo nimehangaika hivi kuwapata huduma yao itakuwaje?

Huduma sijakutana na vikwazo kbs mpaka sasa kwenye hili naweza wakingia. Kuna namba nahisi alikuwa ni msambazaji wa awali (Agent) unaweza niandikia namba unayojaribu kuwatafuta nayo?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Huduma sijakutana na vikwazo kbs mpaka sasa kwenye hili naweza wakingia. Kuna namba nahisi alikuwa ni msambazaji wa awali (Agent) unaweza niandikia namba unayojaribu kuwatafuta nayo?
+255 784 526 155 ya kwanza hiyo
 
Nipe direction kabisa mkuu kesho niwaibukie tena kwa miguu🤣🤣🤣
Unahudumiwa kulingana na eneo ulilopo sio kila mtu akienda hapo sokota atahudumiwa

Cha msingi ni kufanya mawasiliano nao ujue kwa eneo lako utahudumiwa na kituo gani.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Unahudumiwa kulingana na eneo ulilopo sio kila mtu akienda hapo sokota atahudumiwa

Cha msingi ni kufanya mawasiliano nao ujue kwa eneo lako utahudumiwa na kituo gani.
Ok mkuu asante
 
Niko kwenye mchakato wa kupata hii ya TTCL nataka nijue kwa uzoefu wako hiyo speed ya 4mbps iko real au magumashi

Nishaenda ofisi zao wamenijazisha fomu halafu wameniambia wanakuja kufanya survey.

Lakini nimejaza kifurushi cha 4mbps ili nione kama kasi itanifurahisha maana nimeambiwa nina nafasi moja ya kubadili aina ya kifurushi so nikaona bora nianzie hiki cha chini ili hata baadaye nikiona fresh nipande dau.
Ina range 2mbps kwenye speed test na Fast ile ya netflix. Ila ukitumia Idm unapata 500KBps (4mbps) yote.

Youtube, Netflix na Amazon prime ama site zote za Video ambazo server zake zipo stable unastream kwa HD ya kawaida 720P,

Kama ni Mtu wa Kudownload Unaacha vitu usiku tu GB 5 mpaka 10 hivi Ukiamka asubuhi Vipo Tayari.

Weakness kubwa ya Adsl mkuu
1. Mara kwa mara utahitaji Kurestart router maybe kila baada ya siku 2 ama 3 uzime uskilizie sekunde 30 uwashe, ama uingie menu ya router kisha u restart.

2. Inapoteza speed kadri ulivyo mbali, mfano hapa kuna chart angalia

Kwa kifurushi cha 4mbps unatakiwa uwe angalau ndani ya km 4 toka kwako na Exchange yao TTCL kama liwaya limepita tu toka mbali jua speed haitakuwa nzuri, i hope TTCL wana Exchange za Kutosha maeneo yote.
 
Daah nami ndio mtumiaji sana wa IDM sasa na hiyo 500kbps sijui kama tutawezana

Kwa hiyo mkuu kwenye 720 streaming hakuna buffering?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Daah nami ndio mtumiaji sana wa IDM sasa na hiyo 500kbps sijui kama tutawezana

Kwa hiyo mkuu kwenye 720 streaming hakuna buffering?
Hakuna buffering as long as server ipo stable, youtube tena inakuwa 720p 60fps na ina Buffer vya kutosha ule mstari mweupe.

File kudownload around 700mb mpaka 1gb huchukua 20 to 30min.
 
Daah kweli speed hiyo hairidhishi aisee, itanibidi tu ni upgrade sina subira hiyo ya dakika 30 kwenye 1GB wakati na mipango ya kushusha vitu heavy kwa muda mchache
 
View attachment 2202032

Cc. [mention]Chief-Mkwawa [/mention] [mention]Nafaka [/mention] [mention]Lycaon pictus [/mention]& [mention]Root [/mention]
N
TTCL wana customer care mbovu sijui waajiriwa wote wanatokea ukoo mmoja kama una nyodo basi ni wote. Cha ajabu wafanyakazi hawajui offering ya kampuni yao, yani Chief Mkwawa anajua vitu vingi kuwahusu wao na mitisheti yao hawajui. Hii nchi ngumu sana
Bongo wafanyakazi wengi hawajui bidhaa za kampuni zao. Nenda hata NMB, CRDB, Voda nk nk ona wanavyobabaika na kuzunguka.
 
Back
Top Bottom