Mohamed Ibrahim
Member
- Jan 21, 2012
- 49
- 8
Zitto ni fisadi kama mafisadi wengine wote mnaowajua.....time will tell
Hoja safi lakini muda siyo mwafaka tafadhali itunze tutaijadili 2014.
ZITTO FOR CHADEMA,ZITTO FOR CHANGE,ZITTO FOR TANZANIA...Vijana tumsupport kijana mwenzetu tuachane na watu wenye damu za TANU na CCM,tutachugue watu ambao hawajawahi kumili kadi yenye nembo ya jembe na nyundo,tuchague watu ambao hawajawahi kukimbiza mwenge wala kushiriki mbio za mwenge,watu hao ni hatari sana hawaoni mbele wanauona mwenge kila wanapotembea,wanapolala,wanapokula...bado wanaamini eti mwenge ukiwekwa kwenye kilele cha mlima kilimanjaro utawamulika maadui,uongo mtupu!
kumekuwa na fikra ama dhana potofu miongoni mwa vyama mbadala tanzania kwamba wagombea urais kupitia vyama hivyo ni lazima wawe wenyeviti ama makatibu wakuu wa vyama hivyo,huu sasa unaonekana kama ni utamaduni uliozoeleka kwenye vyama vya upinzani,kwa kuwa chadema ni chama za kidemokrasia zaidi naona kingejaribu kuonyesha njia kwa kujitofautisha na vyama vya kisultani(tunavijua)kwa kuanzi chadema kwenye uchaguzi ujao kimteue mgombea wake kutoka nje ya utaratibu huo unaobaka demokrasia hapa nchini,wapo watu wenye uwezo ndani ya chadema ambao wakisimamishwa wanaweza kutoa changamoto ya kutosha kabisa hasa ikizingatiwa chadema kama vyama vingine vimesharibu kuwasimamisha mwenyekiti aliyeko madarakani pamoja na katibu wake bila mafanikio,mfano wa watu mahiri ndani ya chadema ambao wanao uwezo mkubwa wa kuipeperusha bendera ya chama ni hawa wafuatao,hebu tujaribu kuwachambua na kupima kuona yupi ni bora zaidi hapa
mh.tundu lissu
mh.zitto kabwe
prof.safari
mh.halima mdee
Kila mtu ana haki ya kukijadili chama chochote na hoja yeyote inayowasilishwa hapa akiona inafaa kufanya hivyo,msizuie watu kuleta wala kujadili hoja hapa ndio pahala pake,the house of great thinker!hatuzimi hoja hapa.
THE ROMANTIC;
Hakuna mtu anayependa kujadili aliyezuiwa kujadili,kwamba kila mtu anapost kwa kutumia simu au kompyuta yake huko alipo then yuko huru kuchangia anapoona inafaa,Kwa maana hiyo then wale wanaoona hii inafaa kujadili uteuzi wa mgombea wa urais sasa ikiwa miaka mitatu kabla ni sawa,then ni ruksa wakiendelea.
Lakini jambo moja la msingi,CHADEMA inajipambanua sana na vyama vingine kama CCM na CUF,Katika kujipambanua huko sisi wana CHADEMA tunaona si busara kujadili mambo ya uteuzi wa urais kwa sasa.Kuna mambo mengine ya msingi na changamoto ambazo zinatukabili kwa sasa,ambazo lazima kuzi adress kwa muda huu.Tunapenda kufanya KILA JAMBO KWA WAKATI WAKE.Pia tunapenda kuweka PRIORITIES.
Kwa hiyo.Kama kuna mtu awaye yote anayedhani anahitaji kuchangia aendelee kuchangia,lakini hatakuwa CHADEMA kwelikweli kwa sababu huo sio utamaduni wetu.Ninyi endeleeni kujadili expected candidates wetu according to nyie.
Asante.Nawasilisha
VIPI KUHUSU LOWASSA,MEMBE NA SITTA nao tusiwajadili tena hapa au?mi nadhani huu ndio muda muafka tuwajue tuanze kuwa pembua mpaka ikifika wakti tutajua pumba ziko wapi na mchele uko wapi,tukisubiri mpaka mwisho tutakuja okota garasa!thamani ya shilingi imeshuka,bei za bidhaa ziko juu,katiba mpya haijapatikana,wanafunzi vyuo vikuu bado wananyanyasika.........................ndio rais ajaye huyo.
Acha kujifanya unaipenda sana chadema! Wewe si juzi tu ulikuwa unabishana na mwita maranya! Wewe nenda kawashauri magamba wenzako huko!
Haya ndio mambo tunayoyataka unaona bwana sio watu wengine ooooh ni mapema sana kujadili mnataka kuficha nini ilhali urais haugombewi chumbani na wala huko sio mahala kwake bali hadharani?ok mkuu sasa unazo sababu zozote za kuwakataa hao na kuwakubali wawili Bi.Halima na mwenzake tundu?
Umepata ridhaa wapi ya kuwasemea wanachama wote wa chadema humu ndani?kama dio hicho kikao cha kukuteua wewe utoe statement ya pamoja kiliketi saa ngapi na wapi?acha udikteta mbuzi kijana,zungumza ya kwako usiwasemee wengine!unless wewe ni Nape wa chadema!mbona vijana wa kitz mnapenda sana vyeo?