What!Hapo pa Mrisho Gambo nakukubalia
2030 namuona Mwigulu Nchemba akiingia Ikulu
Labda ikulu ya majabaliniHapo pa Mrisho Gambo nakukubalia
2030 namuona Mwigulu Nchemba akiingia Ikulu
Labda akapige chata kwenye kuta za IkuluHapo pa Mrisho Gambo nakukubalia
2030 namuona Mwigulu Nchemba akiingia Ikulu
Wote hapo ni wabunge?Maoni yako yaheshimiwe lakini hapo hamna mtu Ubunge tu umewashinda
Unawashwa?toa hizi taka.
Basi tukuandae weweNaona Nikki wa pili ulivyo mtu wa ajabu umeanzisha uzi alafu katika list umejiweka wa kwanza.....
Unachekesha sana....jiandae mwenyewe
Haya rahisi wa 2040....
Tukufikirie wewe?Huyo number moja nae kweli ni wa kumfikiria?
Bai unafaa weweMleta mada yaelekea umechukua buku kumi kwa kila mmoja.
Sioni hata mmoja hapo ni mihemko yako tu.
Uwe wewe basiNiki wa Pili?
Duh,hii dunia inaenda kasi sana aisee
CCM watupu hapo....