Hawa wana MMU wamapotelea wapi? Ninavyowamiss!

Hawa wana MMU wamapotelea wapi? Ninavyowamiss!

Last edited by a moderator:
Kidogo nimefarijika, Preta kanitupia 'like'. Yupo kumbe! Halo Preee! Kwi ulerekya mae oko?
 
kiwatengu na shansarie ni Mr and Mrs na wamejaa tele chitchat.

Wewe ndo huonekani.
Karucee acha uongo.Sionekani hii post umeionaje? Kiwatengu ni siku nyingi sana kaingia chitchat na post ya 'mtongozano live wa ki-utu uzima.' Baada ya hapo akapotea sijui alienda kwenye kampeni Kalenga au vipi. Mkewe Shansarie pengine alimfuata huko.
 
Last edited by a moderator:
Mtu yoyote mwenye taarifa zao aripoti kituo chochote cha Polisi kilichopo karibu naye...
 
Walikuwa kwenye ile ndege ya Malaysia iliyopotea.

Ha ha ha katika ile list ya watu na mataifa Yao ambao walipotea katika ile ndege ya Malaysia sikumbuki kuona Mtanzania hata mmoja! Labda waliukana uraia wao!
 
Hi karibuni kuna matukio mengi sana ya watu waliokuwa wanariport kujisikia kufa ama kuota atakufa mwezi fulani, seem kuna waliokwisha kutekeleza wito! Ndugu yetu Bujibuji sijui kama alifanikiwa ama bado!
 
Bujibuji nimemficha mahali anakula bata na siagi unamtaka nini?
Hi karibuni kuna matukio mengi sana ya watu waliokuwa wanariport kujisikia kufa ama kuota atakufa mwezi fulani, seem kuna waliokwisha kutekeleza wito! Ndugu yetu Bujibuji sijui kama alifanikiwa ama bado!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom