Hawa wahindi watanitoa roho kwa presha....

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,887
Hivi hii Diwali ni kila mwezi....? tuwe tunataarifiwa basi.....khaaa!....we Boflo hebu nipe ratiba Diwali ni lini na lini....roho yangu isije kuacha mwili....najua unaishi uhindini.....
 
Last edited by a moderator:
utadhani maguruneti....hivi ni nini lakini.....?
 
Hate this yaani kidogo sikio lipasuke maana wanavyo piga duuuh
 
DIWALI-PIC.jpg
 
Leo nilipokea message kutoka voda wananishauri niweke hela kwenye mpesa kwa ajili ya maadalizi ya sikukuu ya Diwali, nikajaribu kuuliza watu diwali ni siku kuu ya nini hakuna alienipa jibu.

mnaoifahamu hebu tufahamisheni ni sikukuu ya nini.
 
akina mituni na sunil sheti na sharuku khan
 
Nipo mitaa ya mianzini,nilivyosikia paaah nikajua enhee machali wa araa washakuja kukusanya vyao nikawah hom fasta..kuja kujua eti ni Diwali aaagh wawe wanataarif watu bhana
 
Leo nilipokea message kutoka voda wananishauri niweke hela kwenye mpesa kwa ajili ya maadalizi ya sikukuu ya Diwali, nikajaribu kuuliza watu diwali ni siku kuu ya nini hakuna alienipa jibu.

mnaoifahamu hebu tufahamisheni ni sikukuu ya nini.

ni sikukuu ya wahindi....iko kama mara 5 hivi kwa mwaka....basi tabu tupu....
 
Hivi hii Diwali ni kila mwezi....? tuwe tunataarifiwa basi.....khaaa!....we Boflo hebu nipe ratiba Diwali ni lini na lini....roho yangu isije kuacha mwili....najua unaishi uhindini.....
hahaha.. Preta umejuaje kama niko huku....

Sasa mimi wamenizunguka Baniani wanapiga mafataki yao mfululizo kama nchi iko vitani...

Diwali ni sikukuu ya wahindi jamii ya Baniani inafanyika kila mwaka mwezi wa November
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom