Hawa wadada wamekumbwa na nini?

Hawa wadada wamekumbwa na nini?

Management tatizo kubwa Bongo, ukiachana na WCB Wasafi, King's Music, Konde Music Worldwide (though ni mpya), African Princess na Hanscana Brand hakuna tena managements zinazoeleweka Jolie, Young Lunya, Country Boy walikuwa Roof Top Ent. ya Petit Man lakini imekufa now Petit Man ana-manage Nuh mziwanda. Jolie, Young Lunya haieleweki wapo wapi Country Boy nasikia anataka kumfuata mmakonde!
 
Huyo Petiman amezitoa wapi hela za kumanage mtu, au ndo ujanjaujanja?
 
Hawa mbona siwajui kabsa watu wanakosea kwenye music kipaji hakitoshi lazima ujiongeze na vitu vingine ili utoboe Kuna watu wakijiona wapo talented Wana relax kabsa
 
Back
Top Bottom