Hawa wafia dini wanaangukiaga pua mbaya sana hapo hamna chura lakini katupa macho kwenye tako sibora angekaa na mpiga picha acheki sura.
Kuna msichana nilikaa naye siti ambatano, yaani siti za pamoja kwenye basi... Safari ya masaa 17... Katikati ya safari tukajikuta tunashikana mikono...
Hapa najaribu kusema kwamba... Hawa viumbe wanaushawushi mkubwa sana
Uchocheziii
πππππππKuna msichana nilikaa naye siti ambatano, yaani siti za pamoja kwenye basi... Safari ya masaa 17... Katikati ya safari tukajikuta tunashikana mikono...
Hapa najaribu kusema kwamba... Hawa viumbe wanaushawishi mkubwa sana
Kwani shekhe hajazubaa kweli ?
Ni changamoto kiongozi... tena mtoto alivyo na makusudi anabinua baja juu kisha anakusogezea ufe nalo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa wanakuwa na mitego ya ajabu sanaYaani hata usiseme niliwahi kutwa na mtihani kama huo uliokutana nao zaidi ya Mara 2 ndani ya bus. .tena Mara zote nilikuwa Nina tokea moro
Ipo sana,sema mtu anapo post picha humu kila mtu atakuwa na point of view ya kwake,we think differentYawezekana eeh?. Lakini unafikiri hali kama hiyo haitukutagi kweli?
Uo si mtihani... Iyo ni bahati.Yaani hata usiseme niliwahi kutwa na mtihani kama huo uliokutana nao zaidi ya Mara 2 ndani ya bus. .tena Mara zote nilikuwa Nina tokea moro