Hawa viumbe, wewe acha tu.

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,697
Reaction score
3,412
Mungu atuzidishie imani.

 

Attachments

  • Screenshot_20190620-164416.png
    370.3 KB · Views: 31
visungura mtego.....maalim katuliaaaaa.....hahahahaahaaaa
 
Hahaha yaani kasimama kaganda kabisa kama vile amepatwa na stroke Ghafla
 
Hahaha yaani kasimama kaganda kabisa kama vile amepatwa na stroke Ghafla
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚We acha tu.Halafu yawezekana chini mambo si mambo tena 🀣🀣🀣🀣
 
ila hivyo sio vitamu kabisa,,,fahari ya uumbaji tuu.....viko macho juu juu
Eeeeeeeeeh?πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™
 
Nadhani itakuwa hivyo maana wazungu wakija -'u nahisi kupigwa ganzi mwili mzima. ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We acha tu.Halafu yawezekana chini mambo si mambo tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shekhe amesha zoea kuona mapaja yakifunikwa ndani ya Juba -''-- Hijabu mpaka kitandani --- so ni halali yake kupatwa na Dege dege
ila hivyo sio vitamu kabisa,,,fahari ya uumbaji tuu.....viko macho juu juu
 
Kuna msichana nilikaa naye siti ambatano, yaani siti za pamoja kwenye basi... Safari ya masaa 17... Katikati ya safari tukajikuta tunashikana mikono...

Hapa najaribu kusema kwamba... Hawa viumbe wanaushawishi mkubwa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…