Hawa viumbe wa namna gani?!

Hawa viumbe wa namna gani?!

Huwa ni wapole sana jumba huwa ni kubwa kimdudu kilichopo ndani ni kidogo sana na hawana madhara kwa binadamu.
 
Hao wanaitwa clothes moth. Na hapo ni stage ya tatu ya ukuwaji wake ndio anakuwa na hiyo case kama camouflage na protection from predators.

Hiyo case (kijumba) unachokiona ndio hiyo hapo cocoon.

NB: Moths ni wadudu fulani wanafanana na vipepeo (kibongo tunaita vipepeo). Wanapenda mda mwingine kuruka usiku sehemu zenye taa. Na huwa hawana rangi zakuvutia kama butterflies.

images (19).jpeg

Moth
images (20).jpeg

Kipepeo (butterfly)
images (22).jpeg

Njia moja rahisi ya kumtofautisha moth na butterfly ni kuwa moth antennae zake mwishoni zipo straight while za butterfly ziko clubbed (kama kirungu).

Wataalamu mtanikosoa.
 
Hao wanaitwa clothes moth. Na hapo ni stage ya tatu ya ukuwaji wake ndio anakuwa na hiyo case kama camouflage na protection from predators.

Hiyo case (kijumba) unachokiona ndio hiyo hapo cocoon.
View attachment 1873083
Lava hukaa miezi miwili hadi 30 aiseee! So huenda ninachokiona pia huwa na majumba yao tu baada yao kukamilisha ukuaji wao!

Asante kwa ufafanuzi!
 
Lava hukaa miezi miwili hadi 30 aiseee! So huenda ninachokiona pia huwa na majumba yao tu baada yao kukamilisha ukuaji wao!
Unachokiona ni majumba yao na wao wapo ndani. Wanaitwa clothes moths kwa mantiki kuwa wao wanakula fibres (nyuzi nyuzi za nguo) na ndio wanazotumia kutengeneza pia hicho kijumba.

Hapo unapoona kama ni kijumba ni kwakuwa huyo larva anapohisi kama kuna hatari huwa anarudi ndani ya kijumba kama njia ya kujilinda ndio maana wewe unaona kama kijumba tu ila kiukweli ni kuwa yupo ndani.

Akikuwa pia mkubwa of course atatoka kwenye hicho kijumba kwakuwa atakuwa sasa ana mabawa na anaweza kuruka so unaweza kukuta kajumba pia hakana kitu.
 
Umedadavua vyema sasa nimeelewa!
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wanabodi ni siku kadhaa sasa nimeona hawa wadudu nyumbani kwangu tena chumbani pa kulala! Kila nikiwaona nawafagia na kuwatupa nje.

Mwanzo hawakuwepo wala sikuwahi wona ila walipoanza kujitokeza pamoja na kuwafagia nawakuta tena na tena ukutani na chini ya uvunguni mwa kitanda!

Wajuzi wa mambo naomba nifahamishwa ni wadudu wa namna gani hawa wanaitwaje na wanamaanisha nini kwenye maisha mwetu aidha maana ya kimwili na hata kiroho pia kama ipo!

Wamekuwa wananikera saana sasa badala ya kuwafagia na kuwatupa nje sasa nawachoma moto!

Mshana Jr and others msiache kupita hapa!View attachment 1872524View attachment 1872525View attachment 1872523
View attachment 1872547View attachment 1872548View attachment 1872549
Hap ni mayai ya wadudu watambao ndani ya nyumba hayana shida kabisa..yakikomaa huanza kutembea hiyo ni hatua ya kuwa funza na baadae mdudu kamili
 
Back
Top Bottom