Hawa TCU inakuwaje jamani

king roja

Senior Member
May 4, 2012
141
7
Juzi nilipo log in my account nilikuta kozi moja not eligible leo nilipo log in ile ya kwanza imekuwa eligible but ya pili na ya tatu zimekuwa not eligible. Kwa anaefahamu huwa wanamaanisha nini kufanya haya
 
Aisee sijui hata ni nini?! mm mwenyewe programs zilikuwa eligible leo eti ni check in progress cjui nn kitafuata,may almightly God be with us.
 
nasikia ya kwamba commt ya tcu inakaa leo so kitu kitakua hewani next week
 
na kwa wale walio fnya kuomb DIP tayar zmesha toka kw walio chaguliwa but 2zid kuomb mungu coz TCU Jaman pasua kchwa na hi new systm yao ya onlne mmh! n shda 2pu xam tme!! though inasmplfy work but inabor pia.
 
Back
Top Bottom