Hawa sikuwaacha Chit Chart kabisa, wamekuja lini?

we Zinduna wewe, me katu sio mgeni. nilikuwepo sana kwenye show zako nyingi tu. sema nilikuwa naingia kimachale sana.
haya show inaanza lini na wamuanzia nani?

Show, inaanza next a wiki ijayo na hapa chini ni wageni watakaohusishwa:

1. BADILI TABIA atahusika juma la wahed

2. manoah atahusika juma la sinina

3. Madame B atahusika juma la thalatha

4. Ruttashobolwa atahusika juma la Arba

5. King'asti atahusika juma la hamsa

6. Baba V atahusika juma la sitaa

7. lara 1 atahusika juma la sabaa

8. platozoom atahusika juma la themania

9. Ciello atahusika juma la tisaa

10. Arushaone atahusika juma la ashara
Kipipi atakuwa standby ku-take over iwapo kuna atakayejitoa.

Kila mmoja anatakiwa kuthibitisha uwepo wake ili kupanga ratiba.

Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Duh siamin nimeitwa mapepe lol, kwan mwanamke hana haki ya kupenda? Achen hzo ths modern wrld nikimfil m2 namuibukia sion ishu, lakin karibu bibi Zinduna....kuna wimbo waitwa sherry zinduna waufahamu? Dedication yako 4rm me

Kipindi nikisongesha hapa wewe ulikuwa bado mpori pori. Karibu dada, naona siku hizi unamudu hata kupaka karo laiti! ha ha ha haaaaaaaa.
 
Zinduna, hayo majina ya majuma mwenzangu umeniacha kwenye traffick light za Ali Hassan Mwinyi. ngoja nimtafute my shem na jirani yangu Judgement huenda akang'amua.make ye ndo mtaalamu wa dikshenary. . .
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hebu nikumbushe mistari, maana mie nazijuz nyimbo mza Mwakakogwa tu

ok mashair yasema hivi;verse 1: wamenieleza matatizo yakooo ...ooooh wamenieleza matatizo ya mume wako....na kisa cha we cherry zinduna kufika kupewa talaka photoalbum yaleta balaa katikat ya darisalama.......kisa ni picha ilopigwa zamani katkat ya mji wa mwanza chorus:cherry zinduna nakupa pole zinduna....
 
Looo nimeukumbuka, huo wimbo nilikuwa nausikia akiuimba dada yangu. hapo kwenye choruspanaposema, sherry Zinduna nakupa pole Zinduna, mie nilikuwa naimba Shemeji Zinduna nakupa pole Zinduna. LOL
 
Looo nimeukumbuka, huo wimbo nilikuwa nausikia akiuimba dada yangu. hapo kwenye choruspanaposema, sherry Zinduna nakupa pole Zinduna, mie nilikuwa naimba Shemeji Zinduna nakupa pole Zinduna. LOL

eehee! Hil song alikuwa analiimba maza enzi nko mkid ,nimekukaribisha so unichunie usinipe za uso sawa?
 
eehee! Hil song alikuwa analiimba maza enzi nko mkid ,nimekukaribisha so unichunie usinipe za uso sawa?

Hebu nimegee siri shoga, hivi ushafanya maamuzi kati ya kile kizee kiitwacho Mtambuzi na sharobaro manoah, unatoka na nani kwa vi date?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom