Hawa sikuwaacha Chit Chart kabisa, wamekuja lini?

Hawa sikuwaacha Chit Chart kabisa, wamekuja lini?

Duh siamin nimeitwa mapepe lol, kwan mwanamke hana haki ya kupenda? Achen hzo ths modern wrld nikimfil m2 namuibukia sion ishu, lakin karibu bibi Zinduna....kuna wimbo waitwa sherry zinduna waufahamu? Dedication yako 4rm me
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahhha
king'asti Natalia hawezi kuishi kwa mtogole kabisa! Na hata ajui kama kuna sehemu hiyo!

Labda kuna Natalia mwingine!

Hata kwa mtogole kuna miami beach gesti hausi, chumba buku 3 pungufu unaongea kama unakuja na mashuka na nanihii zikibaki unaacha. Inawezekana Natalia mamake ndo.anamiliki hii biashara.
 
Last edited by a moderator:
Mwe, mwenzenu mie sikuwapo mahala hapa kwa miezi kadhaa, leo kuingia tu humu Chirt Chat nakutana na watu wapya kibaao, hata siwafahamu mie, basi kama isingekuwa kumuona Bishanga, wallaahi ningedhani nimepotea jukwaa...

1. lara 1, huyu sijui Mchaga maana nimepitia posti zake apenda hela huyoooo

2. snowhite, huyu sijui binti au jimama la makamo, nimesoma posti zake lakini naona 50/50

3. Ciello, haka kanaonekana mapepe kaa nini, nimekaona kanavyogonganisha magari Mtambuzi na manoah

4. Natalia huyu khaa! Apenda sifa huyo, kumbe kwao uswazi tu mitaa ya Tandale Popo Bawa kazi kujikweza tu humu.

5. charminglady huyu sina hakika kama nilimwacha huyu, lakini labda alikuwa huko kwenye majukwa ya wakuda, hakuw ahapa huyu

6. wakati ndio sasa huyu njuka kabisa huyu, karibu chit chart, naamini umeshapazoea mahali hapa

7. Asulo, huyu naye huyu kuku mgeni tu huyu, bado anayo kamba mguuni

8. Arabela, huyu naye huyu, bado ana tongotongo usoni karibu sana shosti, nilikuwa sipo, sas nimerejea

9. pretty n, huyu ni mutu ya R Chuga kwa akina Erickb52, karibu be dada

10. nivea, huyu nahisi nilimwacha ndo kuku mgeni alikuw ahajaanza kuchangamka..

11. Arushaone, huyu naye chalii yangu, wa R Chuga, kule anajuliakana kwa jina la Nyoka Mzee, karibu kaka mkubwa

12. Madame B, shostito, pole na msiba, nasikitika sikuweza kukutumia salaam za rambirambi mapema, karibu sana kijiweni, nasikia wanakuita pacha wangu, bado nafuatilia posti zako ili kujiridhisha kama una uwezo unaofanana na wa kwangu

Haya wote nilowataja na wale nisiowataja karibuni sana Jamvini kwa taarifa yenu miimi ndio kiboko ya wanaume humu Jamvini, niliwakimbiza kule Jukwaa la Wakubwa mwana ukome, hawana hamu na mimi, wakiona avatar yangu vibamia vyao vinasinyaa kama tembele la mwanakwerekwe..

Ndimi Zinduna

khaa! I thought it was a life sentence, behind bars! Mbona umerudi tena beyond bars!? Au ni msamaha wa rais? Hah hah hah hah hah, just kidding! Karibu back Zinduna
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom