Hawa sikuwaacha Chit Chart kabisa, wamekuja lini?

Singo boyz michosho 2, ila ebu nenda kanipigie kura miss chit chat alafu uje 2zungumze!

nishakupigia kura tayari na kampeni nakupigia....
haya Ciello, please i wanna make you a queen of my kingdom!
 
Last edited by a moderator:
Kazi bado kijana Piga debe mpaka nivishwe taji, kazungumze na snowite mpange namna ya kusimamia kamati ya ushindi
nishakupigia kura tayari na kampeni nakupigia....
haya Ciello, please i wanna make you a queen of my kingdom!
 
Last edited by a moderator:
huyu Zinduna anaonekana kama kikongwe ambae kipaji kimeibuka wakati muda ushamuacha km bibi cheka, ChitChat New Generation hii, Anyways karibu sana, sie ndo ma alwatan wa mtaa huu siku hizi...
 
Last edited by a moderator:
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom