Hawa sikuwaacha Chit Chart kabisa, wamekuja lini?

haya nijuze ulipomficha Yummy mke mwanzangu, kabla mwenye mke Asprin hajahamisha nyama zako za chini ziote kwapani! rudisha mke wa mwenyewe, shaurilo, usiseme hukuonywa!
Yummy nishamtema siku nyingi yuko kwa @laria huko na sijui KARIA anampa nini
Nilimuona hana msimamo
Siku hizi niko na Dena Amsi na nyumba ndogo nataka nimwanie sweetlady ila nitonye asijue
hujambo wewe mke wa Asprin
 
Last edited by a moderator:
Yummy nishamtema siku nyingi yuko kwa @laria huko na sijui KARIA anampa nini
Nilimuona hana msimamo
Siku hizi niko na Dena Amsi na nyumba ndogo nataka nimwanie sweetlady ila nitonye asijue
hujambo wewe mke wa Asprin
cjambo sana! hunny wangu kanihamisha jukwaa, kanipeleka habari mchanganyiko, anaogopa huku wakware wengi! nipo mwaya nazidi kunawirishwa na hubby, chunga nitonye asijue habari zako, wafwa nakwambia!
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky, Mr Rocky!!!!!!!!!!!!!
Unaniweka kwenye hiyo list kweli????
Mimi...................... Ngoja tu dawa yako iko kitchen.
BTW nifanyie mpango nimpate Dena Amsi ili niongeze empire yangi mazee.

Arushaone umekuja
Shikamooo
We koma kabisa nikupe my wie wangu Dena Amsi pooozeo la moyo wangu mke wangu wa kufa na kuzikana mke mkubwa nampenda kama uji na mgonjwa

Nitakukata kikojoleo hicho ukikute panya anatembea nacho kwenye bati hapa ukijifanya unamwania my wife wangu huyo mpendwa aise
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky ni mshauri wangu..niliathirika sana na upigaji punyeto,ila via JF Mr.Rocky alinishauri sana kwa inbox niachane na puli...dah!kweli nimeweza..sasa ujuzi wangu wa maisha mapya nje ya puli ntamuonyesha huyo Zinduna mpaka azinduke!nimemfuatilia sana toka enz na enz humu ndani...Salute Mr.Rocky
Yaani umekuja na gudi haidia (good idea)
piga miti , chambegu wangu utiwakilishe! Mcheza kwao siku hizi hatunzwi ! Hata finyango ukose ?
 
Hahahahahahahahaha

Mr Rocky ni mshauri wangu..niliathirika sana na upigaji punyeto,ila via JF Mr.Rocky alinishauri sana kwa inbox niachane na puli...dah!kweli nimeweza..sasa ujuzi wangu wa maisha mapya nje ya puli ntamuonyesha huyo Zinduna mpaka azinduke!nimemfuatilia sana toka enz na enz humu ndani...Salute Mr.Rocky
 
Kwani kushiriki show ni posho sh ngapi? Manake hela ya bando na vikalio inahusika.
Show, inaanza next a wiki ijayo na hapa chini ni wageni watakaohusishwa:

1. BADILI TABIA atahusika juma la wahed

2. manoah atahusika juma la sinina

3. Madame B atahusika juma la thalatha

4. Ruttashobolwa atahusika juma la Arba

5. King'asti atahusika juma la hamsa

6. Baba V atahusika juma la sitaa

7. lara 1 atahusika juma la sabaa

8. platozoom atahusika juma la themania

9. Ciello atahusika juma la tisaa

10. Arushaone atahusika juma la ashara
Kipipi atakuwa standby ku-take over iwapo kuna atakayejitoa.

Kila mmoja anatakiwa kuthibitisha uwepo wake ili kupanga ratiba.

Nawasilisha
 
Singo boyz michosho 2, ila ebu nenda kanipigie kura miss chit chat alafu uje 2zungumze!
hahahaha, gals mna mambo mnataka tayari walio na watu wao , why hampendi ma-singo boyz ?!
haya ngoja niendelee kuangaza angaza huku na kule,
 
Back
Top Bottom