Hawa Sijawaelewa vizuri!!

Hawa Sijawaelewa vizuri!!

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,968




Sijui hapa mtaani au ndani ya nyumba ya Mungu
 
Last edited by a moderator:
Du hii wakiiona si watachoma makanisa tena,please usiionyeshe kwetu Mbagala maana bado tunauguza vidonda
 
Duh! hii kali.

lakini kaka msikitini huwa hatuingii na viatu,, nadhani hapo ni kanisani au umesahau kama kuna WAVAA KANZU wakristo?

Ngoja niitafutie BIT moja ya Rose Mhando nikuwekee ndio utaamini kama hapo ni kwa church
 
Back
Top Bottom