Hahahaaaa, hidden mkuu, hizi lugha zina wenyewe alooMkuu ulikuwa unamaanisha hidden camera
au headen camera ni kitu tofauti maana teknolojia naiogopa sana
Na wewe una mchepuko?
DaaaaaAlhamisi na Ijumaa saa mbili kamili usiku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah alituangusha sana watumishi yule mwanamke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakimbiaje wakati kataitiwa na bi mkubwa
hata wewe unaweza jibu dada yanguUnaniuliza mimi?
yaani ukishacheat......ukajirudia home ukaangalia watoto wako walivyo wazuri...mkeo nae anajipitisha pitisha....yaani....Hili swali hata mimi najiuliza kila siku
Dstv channel no ngapi?Naamini watakuwa na vibali maalumu.
Kenya ni wabunifu, ila waliiga ulaya.
Kwa wale wanaotumia Dstv watanielewa zaidi. Ila kwa mara ya kwanza nilikiona kupitia StarTimes.
Huwa najiuliza hata mimi bila majibu. Tena wanafuatilia matukio mengi mno ili kukamilisha fumanizi moja. Tena linakuwa fumanizi kabambe.
Tena kwa wazungu kuna wakati wanakuwa na polisi kabisa.