Hivi Churchill bado ipo? Insrushwa kituo gani na saa ngapi?Kuna kipindi nilkuwa nakiangalia sana ila siku hizi sikifuatilii sana ila huwa kinachekesha sana asee!
Vipindi vya kikenya huwa navipenda sana
Anikwa
Kaa rada
Naswa
Vioja mahakamani
Churchill Show
Nk!
By the way Khantwe msalimie sana mama Imma
Mwanaume mwenye michepuko afu mchepuko mmoja ukaujua mchepuko mwingine.... huyo hatufai. Aende akawe Askofu kule mbali.Na wewe una mchepuko?
Hivi Churchill bado ipo? Insrushwa kituo gani na saa ngapi?
Utauwawa wewe
Polisi watakuwepo kwa ulinzi wao, hasa wanapohofia usalama wao kwa mtu wanayemfanyia ushilawadu.Duuh polisi wanafuata nini sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jifanye mjanja arobaini yako yaja, nitakuletea wazee wa shilawaduMwanaume mwenye michepuko afu mchepuko mmoja ukaujua mchepuko mwingine.... huyo hatufai. Aende akawe Askofu kule mbali.
Hawa wazembe wanaoingilia fani zetu wanatuharibia sana keimamae zao
Wameiga kutoka kwenye kipindi kinaitwa 'CHEATERS '
channel inaitwa CBS REALITY kwenye king'amuzi cha DSTV
Wewe unadhani wanakuja wawili? Bila shaka nao wanajihami. Sema ungemvizia yule dada maana kiherehere chake sio cha East Africa hiiNtakachokifanya kwenye hicho kipindi Mungu ndo anajua
otherwise wawe wanatembea na mabaunsa zaidi ya mmoja
Ipo Dstv channel 158 Magic EastHivi Churchill bado ipo? Insrushwa kituo gani na saa ngapi?
Utawapotezea muda wao bure tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jifanye mjanja arobaini yako yaja, nitakuletea wazee wa shilawadu
Mie mdogo ake Mshana JrMume wake mganga shauri yako