Hawa Raia wa Malawi wamekuwa kero huku Tegeta, uhamiaji wamelala?

Shamba boy,house girl,awe tishio kwa usalama wa wakazi,?!!! C Mon meen, ur fucking kidding me!!!
Ndugu yangu hao wanatafuta riziki tu,wakipata wanarudi kwao,au wanaomba uraia wanakuwa wabongo wenzetu,ni kama walivyo Latinos kule kwa mkulu Trump,
Watu wabaya kwa usalama wa nchi hii,ni,mafisadi wote,waliojaa kuanzia halimashauri mpaka ikulu,watu ambao maamuzi yao,yanatugharimu sisi na kizazi cha NNE kutoka sasa,na wore hao wapo upinzani,na CCM,
Unaenda hospitali,SAA NNE,bado hujamuona dakitari,polisi wanakaa nyumba za tope,wadogo zetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu,
Wanao sababisha haya,hao ndio hatari kwa usalama,
CCM haifai,inabidi iondoke,upinzani,umejaa opportunist tu,na vibaraka,propagandist tu,hawana jipya,ukimtoa Kafulila,na Zito Kabwe tu,wengine wote,hata wakipewa nchi,hamna kitu,inabidi tuanze upya,
Unajuaje je kama ni vipandikizi wanatuchunguza?! Wafukuzwe warudi huku kwetu hakuna ajira.
 
Wakuu tunashangazwa na uwepo kwa wingi kwa hawa RAIA toka Malawi huku tegeta masaiti wakifanya kazi za ulinzi, uhouseboy, uhoysegirl, Shamba boy, etc. Watu hawa hawana kibali chochote cha ukazi. Nadhani watu hawa ni hatari kwa usalama wa wakaazi wa huku na usalama wa nchi kwa ujumla. Uhamiaji wamelala?.
mkuu sio tubishane ,ila tuongee facts hapa,umeongelea kuwepo kwa wingi kwa raia wa kimalawi,swali wewe umewatambua vipi kuwa hao ni raia wa Malawi?nipe vigezo ulivyotumia katika kutambua wingi wao na uraia wao;facts umedai hawana working permits je umejuaje ?;facts je ni wangapi kati yao ambao wamefikishwa mahakamani na kuhukumiwa kwa uhalifu ulioutaja hapo juu?kinyume cha haya kwangu wewe una elements za xenophobic.
 
Shamba boy,house girl,awe tishio kwa usalama wa wakazi,?!!! C Mon meen, ur fucking kidding me!!!
Ndugu yangu hao wanatafuta riziki tu,wakipata wanarudi kwao,au wanaomba uraia wanakuwa wabongo wenzetu,ni kama walivyo Latinos kule kwa mkulu Trump,
Watu wabaya kwa usalama wa nchi hii,ni,mafisadi wote,waliojaa kuanzia halimashauri mpaka ikulu,watu ambao maamuzi yao,yanatugharimu sisi na kizazi cha NNE kutoka sasa,na wore hao wapo upinzani,na CCM,
Unaenda hospitali,SAA NNE,bado hujamuona dakitari,polisi wanakaa nyumba za tope,wadogo zetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu,
Wanao sababisha haya,hao ndio hatari kwa usalama,
CCM haifai,inabidi iondoke,upinzani,umejaa opportunist tu,na vibaraka,propagandist tu,hawana jipya,ukimtoa Kafulila,na Zito Kabwe tu,wengine wote,hata wakipewa nchi,hamna kitu,inabidi tuanze upya,
Umeandika mengi sana .
Lakini uliyoandika kama wanaishi bika taratibu ni pumba tupu.

Wawe na vibali.
Full stop.
 
Hatarishi kwa usalama wa wakaazi na nchi
Raia wa Malawi wamekuwepo hapa nchini kabla wewe hujaja mjini kutokea kwenu kulikoungua shoka mpini ukabaki na hawajawahi kuwa hatari kwa Umalawi wao...
Acha ushamba mwana!
NB: Wapo Wanyasa wa Tanzania, wanasema lugha moja na hao unawahofia so inawezekana umechanganya kutokana na ulimbukeni wako.
Kila nchi ina taratibu zake.
All in all hata kama haonwamalawi wote ni wachungaji, wachapa kazi, etc.
Kama hawana vibali wapo hapa nchini illegal.

Wakaombe vibali ama waondoke.

Full stop.
 
Wakiondoka utakua unatufanyia usafi wewe? Acha ushamba na roho mbaya inavoonekana hujawahi kuvuka mpaka hata kenya tu hujafika, fuckin local minded.
 
Kwa asiye wajua hawa watu atawasifia Sana wapore wakalimu nyuma ya pazia hawa watu wabaya Sana na Wana roho mbaya sana
 
Siku hz kula mwananyamala na msasani wala ligi yao ya mpira...half kasheshe ni mmoja wao akifiwa yaan wanakuja kupiga mingoma yao hadi asbh wskati unakuta aliyekufa yuko Malawi...kiukwel jamaa wamejisahahu Sana.
Ebu rudi uandike upya.
 
Tatizo lenu inaonekana hamjatembea,Tanzania na Malawi ni nchi zinazopakana, tena zimetenganishwa na mto kiwira. Kwa taarifa yenu huu mto, huwa na kasumba ya kuhama kila msimu wa mvua, kwahiyo mwaka huu utakuta umekata Tanzania wote mliokuwa Tz mnahamia Malawi, mwakani utakuta umekata Malawi, wote mnahamia Tanzania. Pia Nchi zinazopakana kwa daraja asili yake kunakuwa na muingiliano wa koo, na mkienda Malawi kuanzia Kalonga mpaka Mzuzu utadhani ni Tanzania, unaokutana nao aslimia 15 watanzania, tena wakaazi kabisa. Kwahiyo sioni logic ya kuja kufungua thread humu eti kuwaongelea wamalawi, au wakenya au waganda, nitashindwa kukuelewa kabisa.
 
Shamba boy,house girl,awe tishio kwa usalama wa wakazi,?!!! C Mon meen, ur fucking kidding me!!!
Ndugu yangu hao wanatafuta riziki tu,wakipata wanarudi kwao,au wanaomba uraia wanakuwa wabongo wenzetu,ni kama walivyo Latinos kule kwa mkulu Trump,
Watu wabaya kwa usalama wa nchi hii,ni,mafisadi wote,waliojaa kuanzia halimashauri mpaka ikulu,watu ambao maamuzi yao,yanatugharimu sisi na kizazi cha NNE kutoka sasa,na wore hao wapo upinzani,na CCM,
Unaenda hospitali,SAA NNE,bado hujamuona dakitari,polisi wanakaa nyumba za tope,wadogo zetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu,
Wanao sababisha haya,hao ndio hatari kwa usalama,
CCM haifai,inabidi iondoke,upinzani,umejaa opportunist tu,na vibaraka,propagandist tu,hawana jipya,ukimtoa Kafulila,na Zito Kabwe tu,wengine wote,hata wakipewa nchi,hamna kitu,inabidi tuanze upya,
Umeongea vizuri, mwisho umeleta mahaba yako kwa watu. Hapo ndio nimekuona mwehu uliepitiliza. Hao uliowataja, labda kwako wewe!!
 
Tupo nao kitaa wengi tu pande hz za tegeta, ni watu wazuri tu cha msingi watii sheria za nchi.
 
Jamaa wako vizuri sana mitaani wanalinda bila shida na wana uamanifu. Kabla ya mkutano wa berlin africa haikuwa na mipaka, ilimradi hawafanyi uhalifu waachwe tu waendelee kujenga bongo land.
 
Hardworking folk, both men and women. They'll do all kinds of menial jobs for much less than locals. Plus most of them have a courteous and respectful demeanor.
 
Kila nchi ina taratibu zake.
All in all hata kama haonwamalawi wote ni wachungaji, wachapa kazi, etc.
Kama hawana vibali wapo hapa nchini illegal.

Wakaombe vibali ama waondoke.

Full stop.
Ushamba tu huo mkuu. Soma zaidi kuhusu movement za watu duniani afu urudi tuendelee kubishana...
 
Wakuu tunashangazwa na uwepo kwa wingi kwa hawa RAIA toka Malawi huku tegeta masaiti wakifanya kazi za ulinzi, uhouseboy, uhoysegirl, Shamba boy, etc. Watu hawa hawana kibali chochote cha ukazi. Nadhani watu hawa ni hatari kwa usalama wa wakaazi wa huku na usalama wa nchi kwa ujumla. Uhamiaji wamelala?.
Duh.. Kigamboni kumejaa Warundi wauza madafu na kazi zingine ndogo ndogo.. hadi wana timu yao ya mpira wa miguu.. wanajifanya Waha.
 
nilishapata fununu kdgo kuwa wengi wao ni maspy......wapo kwa kazi maalum
 
Wakuu tunashangazwa na uwepo kwa wingi kwa hawa RAIA toka Malawi huku tegeta masaiti wakifanya kazi za ulinzi, uhouseboy, uhoysegirl, Shamba boy, etc. Watu hawa hawana kibali chochote cha ukazi. Nadhani watu hawa ni hatari kwa usalama wa wakaazi wa huku na usalama wa nchi kwa ujumla. Uhamiaji wamelala?.
Mkipewa kazi hizo mnawaibia waajiri wenzenu wamejijengea uaminifu wa lugha na kazi ndiyo Sirius ya Wapo kupendwa, kwa taarifa yako hawajipi wenyewe kazi hizo pia wazungu wanawapenda sana, siyo wezi wala siyo waongo.
 
Back
Top Bottom