Hawa ni Wadada Wa JF..

Hawa ni Wadada Wa JF..

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Huyo aloweka kitambaa kichwani ni Kongosho ...alokaa na pc ni Kaunga ...watajeni waliobaki....

wadada.jpg
 
Last edited by a moderator:
My ex love Boflo na my love Kaunga, hapo i was in another world.

si mnaona nilivobana mapaja? naomba nisiende in details wapenzi wangu. mwaaaah.
 
Last edited by a moderator:
hahahah, wanaangalia nini hao, mbona macho wameyatoa "pima"!!
 
mmh hiyo ni friji kweli Lily Flower? ni kama PC tower

Hahahha mie pia alivyosema friji nikarudi kuitizama upya sikuiona lol....ukiiangalia kwa haraka ni kama kafriji kadogo!
 
Boflo unanitafuta, ujue mie siku hizi mama lishe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom