Hawa ni maDj wa Kenya wanaokimbiza sana Tanzania kwa mix kali

Lyta kwenye ragga na dancehall
Shinshk kote kote yuko poa
Perez kelele nyingi kama mimi
Numz kwenye rumba hana mshindan
Kibinyo ...singeli

Kenya dj ninaye mkubali mimi ni KALONJE
 
Hapo vp
 

Attachments

  • 1658588935275.jpg
    1658588935275.jpg
    53.9 KB · Views: 15
Lyta kwenye ragga na dancehall
Shinshk kote kote yuko poa
Perez kelele nyingi kama mimi
Numz kwenye rumba hana mshindan
Kibinyo ...singeli

Kenya dj ninaye mkubali mimi ni KALONJE
Link mkuu nimchek
 
Lyta kwenye ragga na dancehall
Shinshk kote kote yuko poa
Perez kelele nyingi kama mimi
Numz kwenye rumba hana mshindan
Kibinyo ...singeli

Kenya dj ninaye mkubali mimi ni KALONJE
Hivi nani atakua na mix ya dj kalonje ya sweet reggae,ile wamo wakina deynque(summer love) ya miaka ya nyuma kidogo...kama unayo kuna hela ya maana ninayo
 
Na. 3 nina kazi zake nyingi.... jamaa ni mkareeeee, from old skul to new skul, jamaa ni full talented za zaid pale anapoifanyia kazi talent yake!
Asee kuna mix yake moja nimeipata juzi nasikiliza kila wakati kwenye simu, radio nyumbani jamaa ni mkali sana
 
Back
Top Bottom