Hawa ni Dada Zetu

Hawa ni Dada Zetu

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
382297_439351672812303_59054902_n.jpg
 
Je si vizuri kama tungekua na sheria za mavazi ? hawa wanakuwa mafano mbaya kwa jamii hasa watoto.
 
toto limezaliwa limenyonyesha maziwa ya mama kwa wiki moja tu baada ya hapo anaanza kunyweshwa maziwa ya unga tena wakati huo mama mzazi yuko barabarani na mlezi wa toto hilo ni house girl.
lazima toto hilo broiler liwe jinga lisilikua na maadili kama wazazi wake waliolea ujinga huo.
 
Taabu ya hii hali inayoitwa KWENDA NA WAKATI inawafanya wadogo zetu (wamo na wakubwa zetu pia) kuamini kuwa unvyozidi kupunguza nguo mwilini mwako ndivyo mwonekano wako unapendeza zaidi.....

Bahati mbaya sio wanaumme wote wapendao wakinadada kuwa nusu uchi kuonesha uzuri wao kama nyama iliyotundikwa buchani.....Dada zetu mnaiga vibaya!!!!
 
kibaya zaid watu mtawapondaaaaaaa ila mwisho wa siku kila mmoja ni muhanga kwa nafasi yake kwenye jambo hili.
so far hapo ni usiku wametokelezea kwenye pati fulan ilitakiwa wavaeje kwani.
 
wametokelezea sana isitoshe wapo katika onesho la mitindo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mhhhh, si ndio hizo mnadai ni swagga?


God :yo:
 
What is the big problem here??
Let them be bhana!! Kama wamependeza kwa hiyo occassion, ni wao, kama wametoka kama vibwengo ni wao!! Swala la maadili, dini, sijui nini - pelekeni huko tamaduni au maadili yenu mlikoyatoa, kama mlijibumbia wenyewe, basi bakieni nayo ninyi!!!

Kila mmoja na kile kinachomfaa yeye kwa wakati anaotaka yeye: Historia ya mavazi dhidi ya maadili ni complex zaidi ya tunavyotaka kuilezea kwa mifano michache inayotokana na mrengo wa watu fulani.

attachment.php

Cheki Wanyakyusa enzi zao...

Wanyakyusa.jpg
 

Hapa shida ipo wapi jamani MACHO yale wapi? big up sisters, I would love this better if it was in youtube that I can see them vibrating, standing, kneeling then showing me their back too. Hii ndio inayoitwa dunia...tunapita tu...
 
Biashara matangazo kwani Voda,Coca,Airtel n.k
Lazima yajitangaze ili wateja wajue bidhaa.

Thamani ya Kondoo ni Mkia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom