Hawa ni chura wa aina gani?

kizeze

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
346
Reaction score
361
Leo nimeangalia kipindi cha Uswazi kuna jamaa anafuga hawa vyura sasa ningeomba kama kuna wataalamu wa viumbe vya majini watuambie hawa vyura nia aina gani?



 
mi nilidhan chura kafungiwa kwenye mitandao kumbe yupo
 
siku izi chura amekuwa maarufu sana.
 
Juzi nilikuwa airport nasubiria begi langu ili niingie bongo, mwanaume mmoja akaja pembeni yangu na kusubiria begi lake. Alipolipata kabla langu halijaja akanisalimia. ... mambo chura.... umenona. .. umependeza chura......

Sikumjibu kitu kwa kuwa nilikuwa nimechoka na safari. Sasa hapa namjibu. .....

Chura mwenyewe. ..
 
Hapo unataka tujue umepanda ndege Wahaya buana.
 
Sina jina lao ila hao ni miongoni mwa chura venomous! Kuwa mwangalifu in handling them
 
Nimekusikia ujue?
 
Leo nimeangalia kipindi cha Uswazi kuna jamaa anafuga hawa vyura sasa ningeomba kama kuna wataalamu wa viumbe vya majini watuambie hawa vyura nia aina gani?



huyu jamaa anayefuga hawa vyura ni JIPU. ana kibali cha kumiliki hizo NYARA za serikali? jela inamuita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…