Hawa ndo wabunge wanawake tunaowataka?

Mbona Getruda Lwakatare hana hoja Bungeni? tofauti na awapo Kanisani kwake. sijawahi kumsikia huyu mama akiwatetea wala kuwasemea wajane, mayatima na maskini wengine. Mama Mchungaji please uko kimya sana.

Inanambo, du we lazima utakuwa mchaga, anyway back 2biznes, huyu mama analinda sana biashara zake, hakwenda kututetea wananchi, anachoangalia ni kanisa lake na shule zake, vituo vyake vya kulelea yatima ambavyo vinaingiza ela kibao toka kwa donaz

wapo walioanzia viti maalum na sasa wanashikilia majimbo na wengine wapo umoja wa mataifa, hao ni wale waliochaguliwa kwa kuzingatia masharti na vigezo, hawa wa siku hizi no mauno kwa bed tuuu, hawana jipya....
 
raia, huko ndiko kuwezeshwa kumbe? nadhani kama ndio maana yake, ni bora wangetuacha kama tulivyo...ndo maana mimi sikubaliani na hiyo sera ya yao ya kutaka kutungonoa kwa kisingizio kwamba mwanamke hawezi, SISI TUNAWEZA BILA KUWEZESHWA....

nxt time nataka kina usu mallya, angel akilimali, ananilea nkya na wengine waingie majimboni. Labda hawa hawajawezeshwa na wanaweza kivyao vyao
 
Wewe mwanamke ndiyo wa kwanza kuwashutumu wenzako na kuanzisha cheche za fitna jee tutafika?

Unawapa wanaume petroli ya kuongezea hayo manyanyaso jee ni sawa hiyo? Unao ushahidi wa unayozungumzia?

Ndiyo akina nyinyi mwanamke akipewa post munasema ameipata kwa kulala na bosi hata kama alikuwa mchapa kazi na ni haki yake kuipata hiyo nafasi.
 
Umeongea jambo nyeti wewe!
Ila sasa nin kifanyike kuwa0ndoa?

Bajabiri, unaunga mkono hoja ya kuondoa viti maalum? mi nadhani viendelee kuwepo lakini watu wapewe kwa kuzingatia uwezo wa mtu na siyo ngonolaizesheni
 
Wewe mwanamke ndiyo wa kwanza kuwashutumu wenzako na kuanzisha cheche za fitna jee tutafika?

Unawapa wanaume petroli ya kuongezea hayo manyanyaso jee ni sawa hiyo? Unao ushahidi wa unayozungumzia?

Ndiyo akina nyinyi mwanamke akipewa post munasema ameipata kwa kulala na bosi hata kama alikuwa mchapa kazi na ni haki yake kuipata hiyo nafasi.

Bintimkongwe, siyo fitna mama, ni changamoto hiyo, kama mwanamke unatakiwa kuifanyia kazi badala ya kuona unaonewa wivu, wanaume ni lazma watunyanyase kwa sababu tunawapanulia nyuchi zetu badala ya kwenda nao sambamba ktk kupata vigezo vinavyotakiwa, tunaweka kitumbua mbele ukijiamini kwamba ukimpa kila kitu kitaenda sawa, na kweli wanalamba na kama atakuhurumia atakuchomeka, lkn swali ni je, utapafomu kama inavyotakiwa?????

hwakuna mwanamke mwenye akili timamu anaweza kumsema mwenzake kisa amepata post, navyojua wanawake wanasapotiana sana na tunajivunia sana wanawake waliofanikiwa kihalali (siyo kwa mlango wa uani) NGONO
 
sangarara, simaanishi wote, lkn hali inapoelekea ni mbaya zaidi.. mfano wabunge wa viti maalum waliopenya mwaka jana, ukiwaangalia wana vigezo? na pia viongozi wengi hawana nia nzuri na viti maalumu, maana sasaivi wamewajaza viburudisho kibao pale, no mchango bungeni kazi ni kutoa burudani kwa wabwana zao


Observataions zako ni sahihi kabisa! Mimi nimekuwa nikiwaita ni 'Comfort girls' sawa na wale wa Japan wakati wa vita ya pili ya Dunia. Lakini, kama wewe ni mwanamke hapo ndo nitahitaji msaada wako. Akina mama munajisikiaje munapopewa Favour in exchange na Ngono. Munaona kama ni kunyanyaswa au ni haki yenu kama sehemu ya maumbile ya Binadamu, kwamba always F and M hupeana raha pale wanaposhirikiana?

Pamoja nami binafsi kuichukia tabia hii lakini sijui ni kwa nini hata huko walikoendelea, Europe, bado ladies wanatumiwa kwa mtindo huu tofauti ni kwamba huko wanatafuta walio na uwezo, hapa kwetu Mbumbumbu, waimbaji, wasio na aibu na wale malaya ndo wanaingizwa ktk nafasi hizo. Hata wasipoingia kuna watu wamepewa hata Uwaziri kwa sababu tu dada au mama alitoa ngono kwa wakuu!

Rubbish!
 
> Nimegundua kinadada wengi sana wanataka kuwa wabunge ktk uchaguzi ujao, lkn hakuna hata mmoja mwenye nia ya kugombea jimbo, wengi wanatafuta kujiweka kwa wabunge wanaume wa sasa ili watoe kitu kidogo (ngono) wapate tiket ya kuingia bungeni... > naomba tusaidiane mawazo, ni njia ipi mbadala ya kumuwezesha mwanamke apate ubunge bila kungonolewa>>> >naomba wanaume baadhi ya viongozi (si wote) muache kuwangonoa kinamama kwa kigezo cha kuwapa ubunge, washaurini namna ya kupata hiyo nafasi bila kumsaula nguo zake.....mwe!
Mimi sioni tatizo hapo. Mtu kutumia uwezo, maarifa, Kipawa na maumbile ambayo Mungu kamjalia kujiendeleza na kuwaendeleza wengine!. Kinadada wamejaaliwa sana! Wanatoa kitu ambacho anayepewa hana uwezo wa kukichukua! zaidi ya kugusagusa tu na kuacha halafu yeye anapewa Ubunge na kuondoka nao! Nyie mliopewa utajiri na kuukalia nawashangaa sana! Mtabaki kulalama na kunungunika kila kukicha! Shauri yenu msipochangamka!
 
Tufute tu hv viti maalumu sioni mantiki yake kabisa hizi gender balance zinatumaliza kabsa cha kufanya kila mkoa utengwe majimbo matatu kwa wanawake tu kutoka vyama mbalimbali wagombe nadhan hapo tutakuwa tumewawezesha na sio dhana hii ya kuvua chu pi
 
> Nimegundua kinadada wengi sana wanataka kuwa wabunge ktk uchaguzi ujao, lkn hakuna hata mmoja mwenye nia ya kugombea jimbo, wengi wanatafuta kujiweka kwa wabunge wanaume wa sasa ili watoe kitu kidogo (ngono) wapate tiket ya kuingia bungeni...

> naomba tusaidiane mawazo, ni njia ipi mbadala ya kumuwezesha mwanamke apate ubunge bila kungonolewa>>>

>naomba wanaume baadhi ya viongozi (si wote) muache kuwangonoa kinamama kwa kigezo cha kuwapa ubunge, washaurini namna ya kupata hiyo nafasi bila kumsaula nguo zake.....mwe!

hapo umeongea.....hasa hawa wa vti maalumu wanavunja amri ya 6 ndani ya bunge...
 
Mimi sioni tatizo hapo.
Mtu kutumia uwezo, maarifa, Kipawa na maumbile ambayo Mungu kakujalia kujiendeleza na kuwaendeleza wengine!.
Kinadada wamejaaliwa sana! Wanatoa kitu ambacho anayepewa hana uwezo wa kukichukua! zaidi ya kugusagusa tu na kuacha halafu yeye anapewa Ubunge na kuondoka nao!
Nyie mnaopewa utajiri na kuukalia nawashangaa sana!
Mtabaki kulalama na kunungunika kila kukicha!
Shauri yenu msipochangamka!

Nauona kama ni sampuli nyingine ya ufisadi!Yaani kwa sababu mtu kajaaliwa kiuno laini basi akitumie ipasavyo kupata ubunge?
 
Nauona kama ni sampuli nyingine ya ufisadi!Yaani kwa sababu mtu kajaaliwa kiuno laini basi akitumie ipasavyo kupata ubunge?
YES Wabunge wengi sana wa TZ wamejaaliwa kauli nzuri za kuvutia majukwaani lakini zenye ghilba na udanganyifu mkubwa kiutendaji. Misikitini na makanisani wanashiriki kama wacha Mungu! Unafiki mtupu bora hao wadada wanakitu wanachotoa!
 
tatizo ni mifumo ndani ya vyama. anayeteua viti maalumu ni mwanaume wale wenye uwezo wa kuongoza wananyimwa nafasi na kupewa hao tunaowaona ambao toka mwanzo wa bunge mpaka mwisho hawawezi kufungua midomo. jaribuni kufanya utafiti mdogo ni wabunge wangapi wanawake wanaochangia bungeni bila kuangalia kigezo cha kuongea mambo ya maana. afadhali upinzani ukija vitg maalumu CCM Utakoma. Ndio maana wanaolewa humo ka ma mchezo. Mh Kagasheki nae masikia kapata nyumba ndogo bungeni noma. Watu wanalilia ubunge kwa mengi
 
Back
Top Bottom