wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,353
- 2,997
Ile tume yake ndiyo ilimuona Rais wetu ni Raid halali na hana waa lolote. Yaani ni mweupe kama theluji.Nani kampa huo Urais mpaka auchoke
..???? Huyo ni Rais haramu aliyejipachika urais kwa kuuwa Watanganyika
Hata mbinguni ataenda na huko atakuwa kiongozi wa malaika