Hawa ndo magaidi

Hawa ndo magaidi

That is how intelligence systems operate globally: once you enter the system, you maintain absolute silence. Look at Edward Snowden, Julian Assange, or Alexander Litvinenko, who was ruthlessly liquidated with polonium on British soil. If you compromise classified intelligence, you seal your own fate; there is zero chance of survival.
Snowdens and Assange never faced threats of extrajudicial killing by their states. Russia is Tanzania’s role model—disregard it!
 
Kwanini Snowden alikimbilia Russia kujificha sasa? Kama aliyokuwa akiyafanya ni mazuri si arudi USA!!
 
Kwa huyu Polepole amepata mshahara wa dhambi yake. Ukiwa mtu wa mfumo lazima uishi na siri za mfumo. Kitendo cha kuanza kuropoka mambo anayoyajua kuhusu Serikali ilikuwa sawa na kusaini death warrant yake yeye mwenyewe.

Polepole ni muasisi wa michezo michafu ya kuteka na kuua enzi wakiwa na Magufuli. No sympathies

Tundu naye ni mhaini, kauli yake ya kukinukisha tuliisikia
Kwa hiyo kukinukisha ni uhaini?
 
Siri za watu kuiba rasilimali za nchi ndo kosa la Polepole nyie mnaofaidika na mfumo wa wizi wa rasilimali mwisho wenu hauko mbali sana uzuri wananchi wanaendelea kujitambua
 
Kwa huyu Polepole amepata mshahara wa dhambi yake. Ukiwa mtu wa mfumo lazima uishi na siri za mfumo. Kitendo cha kuanza kuropoka mambo anayoyajua kuhusu Serikali ilikuwa sawa na kusaini death warrant yake yeye mwenyewe.

Polepole ni muasisi wa michezo michafu ya kuteka na kuua enzi wakiwa na Magufuli. No sympathies

Tundu naye ni mhaini, kauli yake ya kukinukisha tuliisikia
Wewe ni msengerema, kmmk
 
Hakuna mtu wa Mbeya anayesupport ujinga Kama huu hata mwashambwa, hasa support!
Fact kwamba tunatofautiana opinion ndiyo inakamilisha takwa la katiba la uhuru wa maoni. Siwezi kufikiria kama wewe. Usidhani kwa kuwa wewe ni mzaliwa wa Mwakaleli basi una haki ya Mbeya kuliko watu wengine
 
Hata kama ni maoni, Yako yamekosa busara sana,na hii sio ya Mtu wa Mbeya original!
 
Back
Top Bottom