Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

Yangu macho, najuta kuzaliwa Tanzania. mambo ya ajabu kweli. yani hata wale manesi wa vijijini wanaoujua uchungu wa kazi ngumu na sekta ya afya ilivyo duni na miundo mbinu yake, sijaona hata wakichaguliwa ili iwe changamoto na motivation, wanachanguliwa watu ambao hata ofisi zilishawashinda na wakawa useless. Lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
NK
Hivi viti maalum vimegeuka nafasi ya kuongezea ruzuku kwa vyama na kulipa fadhila tu

Wengi kwenye list hizo wana undugu wa moja kwa moja na viongozi wa chama na wengine wako hapo kwa minajili ya staarehe za wakubwa tu
 
Kwa nini wabunge wa kuchaguliwa 100?? For god's sake hawa ni wengi mno na inaondoa kabisa ile dhana ya Bunge kuwawakilisha wananchi, hiyo 1/3 ya wabunge wamechaguliwa na watawala siyo wananchi na watakuwa pale kutekeleza matakwa ya waliowachagua. Hii inatakiwa kukomeshwa kama kweli tunataka bunge liwawakilishe wananchi na si watawala
 
CCM : Munde Tambwe Abdallah, Benardetha Kasabago Mushashu, Vick P. Kamata, Pindi Hazara Chana, Fatuma Abdallah Mikidadi, Gertrude Rwakatare, Betty E. Machangu, Diana Mkumbo Chilolo, Fakharia Shomari Khamis, Zaynabu Matitu Vulu, Abia Muhama Nyabakari, Pudenciana Kikwembe, Lediana Mafuru Mng’ong’o, Sarah Msafiri Ally, Catherine V. Magige, Ester Amos Bulaya, Neema Mgaya Hamid, Tauhida Galos Cassian, Asha Mohamed Omari, Dkt. Fenella E. Mukangara, Terezya Lwoga Huvisa.</SPAN> Al-Shaymaa Kwegir, Margreth Mkanga, Angellah Jasmin Kairuki, Zainab Rashid Kawawa, Mwanakhamis Kassim Said, Riziki Said Lulida, Devotha Likokola, Christina Ishengoma, Mariam Salum Mfaki, Margreth Simwanza Sitta, Subira Khamis Mgalu, Rita E. Kabati, Martha Mlata, Maua Abeid Daftari, Elizabeth Nkunda Batenga, Azza Hillal Hamad, Mary Machuche Mwanjelwa, Josephine T. Chengula, Bahati Ali Abeid, Kiumbwa Makame Mbaraka, Roweete Faustine Kasikila, Anastazia Wambura, Mary Pius Chatanda
</SPAN>CHADEMA : Lucy Owenya (Kilimanjaro), Esther Matiko (Mara) Mhonga Luhanywa (Kigoma), Anna Mallac (Katavi), Paulina Gekul (Manyara) ,Conchesta Rwalumulaza (Kagera), Suzan Kiwanga (Morogoro), Grace Kiwelu (Kilimanjaro), Suzan Lyimo (Kilimanjaro), Regia Mtema (Morogoro), Christowaja Mtinda (Singida), Anna Komu (Dar es Salaam), Mwanamrisho Abama (Zanzibar), Joyce Mukya (Arusha), Leticia Mageni Nyerere (Mwanza) na Naomi Kaihula (Dar es Salaam). Chiku Abwao (Iringa), Rose Kamili (Manyara), Christina Lissu (Singida), Raya Ibrahim Khamis (Zanzibar), Philipa Mturano (Dar es Salaam), Mariam Msabaha (Zanzibar) na Rachel Mashishanga (Dar es Salaam).
 
Huyu Maua Daftari na wakongwe wenzake ina maana wameshindwa kabisa kwenda kupigania majimbo? Ama ndo kusema kwa sababu ni 'wenzetu' nao inabidi tuwaweke nao waendelee kufaidi keki kuliko kuweka 'wakuja' wakavujisha 'mambo yetu'
 
Nimeufurahia uteuzi wa chadema. Hasa wa Esther Matiko, Regia Mtema na Rose Kamili
 
Mbona hao wa CCM hukutaja wanatokea wapi mikoa gani? Hii habari imetolewa kiuchochezi zaidi.
 
Baba Enock

Uko sahihi. Sioni mantiki ya kuwa na wabunge wa viti maalum. Hatukuwachagua wanaenda kumwakilisha nani?

Mwanamke asiyeweza kugombea na kushinda jimboni kwa nini apewe nafasi kwa sababu ya uanauke wake wa kuzaliwa tu?

Mfumo huu badala ya kumuinua mwanamke ina mdumaza kuwa yeye hana uwezo sawa na mwanamme na akae tu kusubiri fursa kupitia jinsia

Ni kupoteza pesa ya mlipa kodi tu

Wanawake takribani 100 wanaingia Bungeni kwa jina la viti maalumu - 1/3 ya Bunge La Jamhuri ya Muungano wanaingia Bungeni bila kuchaguliwa! Strange!Ukijumlisha na WIZI wa kura inawezekana 80% ya Bunge la JMT wanaingia Bungeni bila kuchaguliwa wa Wananchi!

Halafu tunasema kuwa tuwaunge mkono kusimamia utendaji wa Serikali! Well - looking at that "LIST" - trust me and GOD - Kikwete hs taken everyone for the ride! SHAME!

RIta mLAki?????,vick k.....
We are not serous??
Naanza kupekua fail la Liyumba ,,,,,,,,,,,,nitarudi punde

NK
Hivi viti maalum vimegeuka nafasi ya kuongezea ruzuku kwa vyama na kulipa fadhila tu

Wengi kwenye list hizo wana undugu wa moja kwa moja na viongozi wa chama na wengine wako hapo kwa minajili ya staarehe za wakubwa tu

Kwa nini wabunge wa kuchaguliwa 100?? For god's sake hawa ni wengi mno na inaondoa kabisa ile dhana ya Bunge kuwawakilisha wananchi, hiyo 1/3 ya wabunge wamechaguliwa na watawala siyo wananchi na watakuwa pale kutekeleza matakwa ya waliowachagua. Hii inatakiwa kukomeshwa kama kweli tunataka bunge liwawakilishe wananchi na si watawala

Ritha Mlaki tena du!

Hana jipya huyo.

Sijaona Orodha ya CUF au mpaka wa-concert CCM?
wote hawa including me. tuna mashaka na hizi nafasi maalumu kwa viti maalum.
Tunashuhudia sasa rushwa za ngono zinavyotuletea viongozi bomu.
Vicky Kamata ameingia humo kwa ujasiri upi au kwa shukrani ipi?? Hata nyimbo zake hazijajemba meseji maridhawa kwa jamii. ni hoax dot com.
Ritha Mlaki alikuwa mbunge wa kuchaguliwa je alifanya nini jimboni???
ninamwona Martha mlata kidogo credible lakini hii style ya kuingiza watu kwa upendeleo maalum naona ifikie tamati sasa. jamii imeelimika na inaweza kuchagua wanawake bila kubagua.
damn
 
Anyway. ni wengi sana. Hatutakiwi kulalamikia hilo lakini. Sometimes tumeona wabunge wa kuteuliwa wakiwa useful kwa wananchi kuliko hata wa kuchaguliwa...

Eng. Stella Manyanya ni mmoja wa wapiganaji......
 
Margerath Sitta, alikamatwa na Rushwa.
Hivi kesi ndo imeisha?

Raha kamili, na CCM !!!
 
Back
Top Bottom