Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 917
- 563
Yeah muhimu.Asante mkuu nitajitahidi kuwa na laini za ziada
Yeah muhimu.Asante mkuu nitajitahidi kuwa na laini za ziada
Lakini wengine hatuko hivyoHii ndio changamoto kubwa ya baadhi ya KE hasa wanapohitaji mkopo toka Kwa ME wakati mwingine anaweza jiheshimu asionyeshe mazingira ya kumalizana chumbani...ila halipi tu na anaona kama ni wajibu wako umsaidie hata kama hauna mahusiano nae, kumdai inakuwa kama unambugudhi
Siyo wote mkuuJukopeshwa siyo haki yako ya kimsingi na wanawake huwa hamrudishi pesa mnataka badala yake mtoe uchie. Huyo mzee yupo sahihi.
😂😂😂😂😂 heee jamani kwahiyo mtu asifanye mambo yake kisa wewe unashida? Na kama anazo haimaanishi hazina kazi inawezekana anazo ila zina mipangoNi mtu mzima kabisa na pesa zake, bora hata angeniambia hata hana kuliko kunibluetiki na kuendelea kupost status🥲🥲
Ni heri hata angejibu basi kuwa hana wakati huu kilichoniuma siyo kushindwa kunikopesha ni kitendo cha kunikalia kkimya na kubluetiki msg yangu😪😪😂😂😂😂😂 heee jamani kwahiyo mtu asifanye mambo yake kisa ww unashida? Na kama anazo haimaanishi hazina kazi inawezekana anazo ila zina mipango
😁 labda yupo bize hana nafasi ya kujibu meseji kwa wakati huoNi heri hata angejibu basi kuwa hana wakati huu kilichoniuma siyo kushindwa kunikopesha ni kitendo cha kunikalia kkimya na kubluetiki msg yangu😪😪
Hana nafasi ya kujibu na status anaweka karibu kila siku dah! Nimeumia sana 😢😁 labda yupo bize hana nafasi ya kujibu meseji kwa wakati huo
Asante sana mkuuPole Sana mkuu
Unasikitika hadi nakuonea huruma, pole sana.....tutafute hela, hela za kuomba zina mengi, masimango kudharauliwa, kuaibishwa nk nk....poleHana nafasi ya kujibu na status anaweka karibu kila siku dah! Nimeumia sana 😢
Kabisa mkuu, hadi roho ni za wanyama kabisabinadamu hana tofauti na mnyama tofaut ni akili
Kweli kabisa, nimejifunza pakubwa sana haitatokea tena hiiUnasikitika hadi nakuonea huruma, pole sana.....tutafute hela, hela za kuomba zina mengi, masimango kudharauliwa, kuaibishwa nk nk....pole
Kuna watu tuna Mimi kuanzia voda na Aireli huko kote sikopeshwi, ukija mikopo ya mitandao ndo kabisa Wala hata hawanikubalii, wengine lakini wanakubaliwa iseeTigo(Waungwana wanajiita Mixx siku hizi), voda na airtel wana sio chini ya huduma mbili za ukopeshaji.
Mimi wananiinua sana nisipokuwa na kibunda.
Kuhusu huyo rafiki yako achana naye, labda katoka kuchangia harusi.
Usikae na line moja kama ni mtu wa kufanya transactions kwenye simu.
Dah huko mi napata bila, nikiwa na shida fasta nachukua.Kuna watu tuna Mimi kuanzia voda na Aireli huko kote sikopeshwi, ukija mikopo ya mitandao ndo kabisa Wala hata hawanikubalii, wengine lakini wanakubaliwa isee
Acha fikra hizoMmmh nimenusa hii ni gia ya kuombea hela hapa jukwaani!