Hawa ndiyo binadamu

Hawa ndiyo binadamu

Usiwaze, kuna ile unasoma message alafu unasahahu kuijibu, lakini mwingine hapendi jieleza kwamba sina au lah, au anawaza mahala pa kukutafutia. Mie ni mmoja wapo mtu akiomba hela nitasoma message ila sikimbii kumtumia au kujibu .. relux
Hakuna kitu sipendi kama hicho bora hata mtu aniambie sina nijue moja
 
200k unapata kwa simu..
Nina line mbili za Airtel, moja inaweza kukopa 450k - Timiza, nyingine inakopa maximum 210k.

Hoja yangu ni hii; kama hupati mtu wa kukupa cash, jaribu kuwaomba wakukopee. Kama wako tayari.
Si ndiyo hawajibu hata meseji nawaombaje
 
NRNE

Nimekaa najiuliza hivi binadamu wa siku hizi wamekuwaje, wakati wa raha watakuwa na wewe, lakini ukipata shida hutawaona kabisa.

Just imagine mtu unamwambia akukopeshe siyo unamuomba anaibluetiki hiyo msg na status anaweka kama kawaida.

Ngoja niishie hapa nirudi kifungoni🥲
Kuna taasisi za mikopo ya dharura. Nenda huko
 
NRNE

Nimekaa najiuliza hivi binadamu wa siku hizi wamekuwaje, wakati wa raha watakuwa na wewe, lakini ukipata shida hutawaona kabisa.

Just imagine mtu unamwambia akukopeshe siyo unamuomba anaibluetiki hiyo msg na status anaweka kama kawaida.

Ngoja niishie hapa nirudi kifungoni🥲

Kukopeshwa siyo haki yako ya kimsingi na wanawake huwa hamrudishi pesa mnataka badala yake mtoe uchie. Huyo mzee yupo sahihi.
 
Jukopeshwa siyo haki yako ya kimsingi na wanawake huwa hamrudishi pesa mnataka badala yake mtoe uchie. Huyo mzee yupo sahihi.
Hii ndio changamoto kubwa ya baadhi ya KE hasa wanapohitaji mkopo toka Kwa ME wakati mwingine anaweza jiheshimu asionyeshe mazingira ya kumalizana chumbani...ila halipi tu na anaona kama ni wajibu wako umsaidie hata kama hauna mahusiano nae, kumdai inakuwa kama unambugudhi
 
NRNE

Nimekaa najiuliza hivi binadamu wa siku hizi wamekuwaje, wakati wa raha watakuwa na wewe, lakini ukipata shida hutawaona kabisa.

Just imagine mtu unamwambia akukopeshe siyo unamuomba anaibluetiki hiyo msg na status anaweka kama kawaida.

Ngoja niishie hapa nirudi kifungoni🥲
Tigo(Waungwana wanajiita Mixx siku hizi), voda na airtel wana sio chini ya huduma mbili za ukopeshaji.

Mimi wananiinua sana nisipokuwa na kibunda.

Kuhusu huyo rafiki yako achana naye, labda katoka kuchangia harusi.

Usikae na line moja kama ni mtu wa kufanya transactions kwenye simu.
 
Asante mkuu nitajitahidi kuwa na laini za ziada
 
Back
Top Bottom