Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,897
- 103,965
Mm naona yupo sahihi, n ww tuu unashindwa kujiongezaNi heri hata angekuwa amejibu kuwa hana nijue ameonyesha dharau, ameibluetiki na kuendelea na mambo yake
Mm naona yupo sahihi, n ww tuu unashindwa kujiongezaNi heri hata angekuwa amejibu kuwa hana nijue ameonyesha dharau, ameibluetiki na kuendelea na mambo yake
Ukifika huko pm ndo utajua yupo serious au hapana, nenda kwanzaSiamini kama yuko serious
Dah! Huu siyo utu kabisaMm naona yupo sahihi, n ww tuu unashindwa kujiongeza
Wacha tu nizisake zangu hakuna namna🥲😅Hataki usumbufu wa kukudai mpaka aanze maelezo mengi..!!
Tafuta zako 😹
Sawa mkuuUkifika huko pm ndo utajua yupo serious au hapana, nenda kwanza
Asante sana mzee KisaAisee pole sana
Kwasababu gani unasema hivyo?Taifa likiwa na watu kama wewe, hata utekaji utaisha
Karibu Rufiji waifu hapa pesa ipooAsante sana mzee Kisa
Hata Jf haiwezi ikavamiwa aiseeee....🙄Taifa likiwa na watu kama wewe, hata utekaji utaisha
Mh! AsanteKaribu Rufiji waifu hapa pesa ipoo
Usinisagie kunguni mkuu, Jf inakaribia kuzimwa ujue..😝Baharia acha uhuni 🤣
ndio mnakosaga ivyo ivyo, kwenye maisha usiwe una assume kabla ya kutenda 😎Siamini kama yuko serious
Sawa waifu materialMh! Asante
Kwani ni kiasi gani hicho ulichoanzishia uzi mimi nikukopeshe?Ni mtu mzima kabisa na pesa zake, bora hata angeniambia hata hana kuliko kunibluetiki na kuendelea kupost status🥲🥲
Labda upunguze kujipa umuhimu kwenye maisha yake.Ni heri hata angekuwa amejibu kuwa hana nijue ameonyesha dharau, ameibluetiki na kuendelea na mambo yake
Njoo nikuoatie bure mrembo, chap kidogo kabla hawajizima Jf 🤗Ni mtu mzima kweli, status anazoweka siyo memes ni mistari ya biblia, unipatie unikopeshe?
🤣🤣🤣Usinisagie kunguni mkuu, Jf inakaribia kuzimwa ujue..😝