Hawa ndiyo binadamu

Hawa ndiyo binadamu

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,363
Reaction score
16,092
NRNE

Nimekaa najiuliza hivi binadamu wa siku hizi wamekuwaje, wakati wa raha watakuwa na wewe, lakini ukipata shida hutawaona kabisa.

Just imagine mtu unamwambia akukopeshe siyo unamuomba anaibluetiki hiyo msg na status anaweka kama kawaida.

Ngoja niishie hapa nirudi kifungoni🄲
 
Kama ambavyo Ww huna hiyo pesa, hta huyo uliyemuomba nae hana hiyo pesa.

Wabongo wengi tuna matatizo ya akili, mtu akishindwa kukusaidia unaanza kumuona ni mbaya wako.

Mtu kusema hana pesa ya kukukopesha sio kigezo cha kumfanya ashindwe kuendelea na maisha yake kisa Ww utamuona ana pesa.
 
Umezawaliwa peke yako, na Utakufa peke yako. Siku zote za maisha yako kumbuka hilo
 
Best option ni kopa bank au saccos
Kila mtu ana mtu wake kwenye swala la pesa, na sio kila mtu anaweza mpa pesa hata kama ndani zimejaa. Kwenye maisha nilisha jifunza kuto kuomba hela wala kukopa na nimeishazoea na ilifanya niwe na bidii sanaa, baada ya kipindi flani kigumu kwangu , kila nae mgusa sound.. 🤠 nikaona hapa siri ni kusaka na kuongeza juhudi
 
Kila mtu ana mtu wake kwenye swala la pesa, na sio kila mtu anaweza mpa pesa hata kama ndani zimejaa. Kwenye maisha nilisha jifunza kuto kuomba hela wala kukupa na nimeishazoea na ilifanya niwe na bidii sanaa, baada ya kipindi flani kigumu kwangu , kila nae mgusa sound.. 🤠 nikaona hapa siri ni kusaka na kuongeza juhudi
safi sana
 
Kama ambavyo Ww huna hiyo pesa, hta huyo uliyemuomba nae hana hiyo pesa.

Wabongo wengi tuna matatizo ya akili, mtu akishindwa kukusaidia unaanza kumuona ni mbaya wako.

Mtu kusema hana pesa ya kukukopesha sio kigezo cha kumfanya ashindwe kuendelea na maisha yake kisa Ww utamuona ana pesa.
Ni heri hata angekuwa amejibu kuwa hana nijue ameonyesha dharau, ameibluetiki na kuendelea na mambo yake
 
Usiwaze, kuna ile unasoma message alafu unasahahu kuijibu, lakini mwingine hapendi jieleza kwamba sina au lah, au anawaza mahala pa kukutafutia. Mie ni mmoja wapo mtu akiomba hela nitasoma message ila sikimbii kumtumia au kujibu .. relux
 
Kila mtu ana mtu wake kwenye swala la pesa, na sio kila mtu anaweza mpa pesa hata kama ndani zimejaa. Kwenye maisha nilisha jifunza kuto kuomba hela wala kukopa na nimeishazoea na ilifanya niwe na bidii sanaa, baada ya kipindi flani kigumu kwangu , kila nae mgusa sound.. 🤠 nikaona hapa siri ni kusaka na kuongeza juhudi
Hata mimi nimejifunza hili sutakaa nimkope tena mtu pesa
 
Back
Top Bottom