Hawa ndio watoto wa sasa...

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
BABA ,wewe mtoto niletee soda

MTOTO, pepsi au cola

BABA, pepsi

MTOTO,ya kopo au ya chupa

BABA, ya kopo

MTOTO, ya baridi ya moto?

BABA, hee wewe mtoto mbona maswali
mengi haya niletee maji

MTOTO, ya hapa hom au nikachukue
shop?

BABA, ya hapahapa

MTOTO, ya baridi ya moto?

BABA, ya baridi

MTOTO, kwenye glasi au kikombe?

BABA, ntakupiga na ufagio wee mtoto

MTOTO, wa chelewa au wa miti?

BABA, ntakuuuwa wee mtot

MTOTO, utaniuwaaje na kis na bastola?
BABA, na bastola

MTOTO, kichwani au tumboni?

BABA, kichwani nimekwambia toka
njee

MTOTO, sasa hivi au baadae?

BABA, sasa hivi

MTOTO, maji hutaki father???????
 
haahahahah.................bora unyanyuke tu ukachukue mwenyewe.
 
Back
Top Bottom