Hawa ndio wasomi wetu wakuu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ndio wasomi wetu wakuu.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by only83, Oct 8, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hii ni moja ya post za Mwita25 kwenye jukwaa la siasa,amabaye ni degree holder ya fishing toka UDSM......

  "Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against CCM are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So I don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.

  Angalia kwenye hayo maneno yaliyowekewa rangi nyekundu,jamaa anazungumzia mwanamke au mwanaume....
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Oct 8, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi ngoja nisiseme sana kuhusiana na haya mambo ya usomi manake sikawaii kuambiwa nawaonea wivu bure.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Heee, hivi Mwita kasomea uvuvi? My cousin who never went beyond 4th grade was one great fisherman. He could have taught Mwita 25 a thing or 2 his English gibberish notwithstanding
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  inatokea mtu kukosea mara kwa mara... mi niliwahi kuteleza, nikaandika global warning instead of global warming nikakosolewa tu pale pale, hawakunianzishia thread ya kunisema. kama ni kosa la kutojua angerudia HER kote. lazima anajua ila hakua focused kwenye orthography.
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nadhani ulikua ni uongo mtupu na ukiwa muongo usiwe msahaulifu
   
 6. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ungetumia muda wako kutafuta makosa ya mrekwe ungesaidia sana hili taifa. Huyo Rais wako mwenyewe aliwahi kusema 'ladies and gentlemen, welcome to the dancing floor'. Hii ilitokea June 2008 pale AICC kwenye mkutano wa Sullivan.
   
 7. n

  nigregory Member

  #7
  Oct 8, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Kujua Kiingereza ndio Usomi au uwezo wa kufikiri? Acheni Upumbavu. Huu ndio ujinga wa Watanzania walo wengi. Utasemaje kuhusu wachina, warusi, wajapani, na wengineo wasiotumia kiingezera. Basi kwa mantiki hiyo ukizaliwa uingereza au marekani, Australia huna haja ya kwenda shule manake si unweza kuongea kiingereza hata kama hujui kuandika lugha yenyewe.
   
 8. OMGHAKA

  OMGHAKA Member

  #8
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aagh! Mijitu inaandika kiswahili kibovu humu kama mizungu lakini haianzishwi thread kukosoa lakini hiyo typing error kidogo kwenye lugha ya kigeni ndio tuamini kwamba jamaa degree yake fake... hapana hizo ni fikra tegemezi...
   
 9. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sasa na wewe umeandika nini hapo?
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Mkuu huyu jamaa aliwai jitapa hapa JF kuwa ana GPA ya 4 kwenye cheti chake cha bachelor na anajua kiingereza kuliko ma-pro wa CHADEMA,sasa Mungu amfichi mnafiki,ona sasa....
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu hii sio typing error acha kutetea uharo......hii ni kutojua wapi itumike his au her na kwa wakati gani na kitu gani.....
   
 12. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Inawezekana unacheza ngoma usiyoijua.
   
 13. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #13
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mtoa hoja nadahani unataka kutupotosha ,kisa Mwita 25 amekuwa akishambuliwa na wewe basi unatafuta umaarufu kwa kumshambulia kwa hoja zisizo na msingi.Huo usomi unaotaka kutuambia hapa ni upi? Kwa hiyo Baadhi ya Ma Dr na Ma prof wa vyuo vikuu ambao hawajui kingereza vyea kama waingreza wao sio wasomi!?
  Uwe unatafakari unachokileta kwenye jukwaa sio kuwa kujenga hoja kwa msukumo wa kiitikadi.
  Pia unaonyesha wewe ulivyo mvivu wa kufikiri na kuoanisha hoja ,umeshasema yy ana degree ya fishing -ulitakiwa upime usomi wake kwenye field yake ya fishing,sio kwa makosa ya kiuandishi wa lugha.
   
 14. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa yako mimi namiliki Diploma in Clinical Medicine niliyoipata Mafinga COTC 2000-2002. Kazini natambulika kama Clinical Officer aka Afisa Tabibu. Hiyo degree yako ya Fishing gawaneni na Nape! Mimi siitambui
   
 15. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamani lets be honest, hata wasomi kiasi gani huwa wanakosea kwenye uandishi wao wa awali na nido maana kunakuwa na proof-reading na wakati mwingine hata kupatia watu wengine kupitia na kuona makosa kama haya........unaweza kuona makosa madogo kwa nini hajayaona lakini ukweli makosa madogo huwa ndiyo hayaonekani zaidi

  All in all, nakakubali kanglishi ka mkuu Mwita25 maana duuuuhh!! inabidi nikatafute kadikshenari kangu kuongeza msamiati mpya.....mwe ananikumbushaga sana enzi zile za Sekretari Maimuna na ".....anaongea kiingereza kigumu".....
   
 16. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Achen mambo ya kizaman kukosea ni kitu cha kawaida kwa mwanadamu, Nyie vipi ?
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umeulizwa? Halafu wewe jamaa ni mshamba sana! Kuna siku ulikuwa unajitapa eti una Harrier lako unataka kwenda nalo Arusha from Dom! Kuendesha Harrier ni ujanja?
  Arusha yenyewe ulikuwa hata huijui..afadhali uliadmit mwenyewe!
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Tatizo ni kwamba vyote viwili vinatumia akili!
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,794
  Trophy Points: 280

  Taratibu green guard unatema mate sana.
   
 20. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  red and bolded: Kweli sasa naamini 'waacheni wafu wazikane wenyewe kwa wenyewe", khaaa!
   
Loading...