Soma namba 5911 kwenye picha ya kwanzakwenye hiyo doc Main activities media haimo , TCRA wakati inasajiliwa mkewe kusaga alikuwemo Kama shareholder .otherwise mke wa kusaga alishauza share au Kuna utofauti ktk umiliki ( wasafi media and wasafi limited)
kwenye hiyo doc Main activities media haimo , TCRA wakati inasajiliwa mkewe kusaga alikuwemo Kama shareholder .otherwise mke wa kusaga alishauza share au Kuna utofauti ktk umiliki ( wasafi media and wasafi limited)
Mleta mada analijua hili kweli??Nilichokiona hapo.
Kuna hisa 10,000
Diamond anamiliki hisa 1800
Mama yake hisa 200
Jumla wote wanamiliki hisa 2000 wakti hisa ni 10,000.
Maana yake wanamiliki hisa 20%
80% wanamiliki wengine
All in all Pongezi kwake kumiliki media kubwa kama ile kwa 20% ni mafanikio mengi sana.
Bila shaka hizo 100milion alizowekeza kwa sasa mwenye thamani zishafika 1 billion.
Sio mafanikio haba maana hii media inaweza ikawepo miaka mingi hata kama hatokuwepo yeye .
Hiyo haina maana unayotaka wewe kuwaaminisha watu, kuna shares 10,000, wametumia 2000 hizo 8,000 wanauwezo huko mbeleni wakauza au kumgawia mwekezaji mwingine, ila kea sasa hv mmiliki kwa 100% ni hao unaowaona hapo, hiyo ni official doc. Tafuta watu waliosoma Law au BCom watakuelewesha unless awe kilazaNilichokiona hapo.
Kuna hisa 10,000
Diamond anamiliki hisa 1800
Mama yake hisa 200
Jumla wote wanamiliki hisa 2000 wakti hisa ni 10,000.
Maana yake wanamiliki hisa 20%
80% wanamiliki wengine
All in all Pongezi kwake kumiliki media kubwa kama ile kwa 20% ni mafanikio mengi sana.
Bila shaka hizo 100milion alizowekeza kwa sasa mwenye thamani zishafika 1 billion.
Sio mafanikio haba maana hii media inaweza ikawepo miaka mingi hata kama hatokuwepo yeye .
Acha kupotosha mkuuNilichokiona hapo.

Hiyo document haihusiani na wasafi mediaIngawa sina taarifa kamili,lakini naamini a lot of informations are missing,Maswali ya msingi hapa ni kwamba-KUSAGA ana play part gani katika umiliki wa wasafi? 100M inatosha ku-finance kuanzisha TV & Redio to that level? Anyway,ni taarifa nzuri.
Hata aliyepost atakubishia,yaani hajui kapost nini..aisee!Mkuu unashindwa kusoma. Jumla ya hisa ni 10,000 na Diamond ana 1800, mama yake ana 200. Kwahiyo jumla wana hisa 2,000 ikimaanisha wanamiliki asilimia 20%. Wameweka mtaji wa milioni 100. Kwahiyo zile 80% zinamilikiwa na wengine.
Utakuja kufa na kihoro Kuna vitu haviepukiki kuvijadili ni sehemu ya kujifunza na kuburudisha piainakusaidia nini na inatusaidia nini ? hebu angalia maisha yako
Majibu:We unahisi ni nini?