MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,261
- 1,222
Kwa wale wasiojua katika historia ya adhabu ya kunyongwa Tanzania ni watu wawili tu walionyongwa. Ni wengi waliohukumiwa kifo ila hawajanyongwa wote.
Wafuatao na matukio yao ndio ninaowajua kunyongwa:
1. Said Mwamwindi, mkulima wa Iringa. Aliimuua aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa Dk. Wilbert Kleruu mwaka 1971 Desemba 25. Inadaiwa RC alimgombeza Said mbele ya wake zake kwanini anafanya kazi siku ya sikukuu, ilikuwa ni Krismasi na Jumapili. Huyo mkulima akampiga risasi RC.
2. Mtanzania mwenye asili ya Asia aliyeifanya ajali kwa makusudi na kumuua mkewe ili alipwe bima ya gari lake lililokuwa na hitilafu kubwa na la zamani.
Hawa wote wamenyongwa kwa idhini ya Mwl. Nyerere.
Hawa ndiyo ninaowajua na sikuckia wengine. Mwenye kuongeza au kurekebisha hii historia atusaidie tujifunze.